JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

Among those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.
 
Dhambi ya kitabu kipi?

Watu wanaongea ya Mauritius wewe unaongea ya Zanzibar kama si ujuha nini huo?

Hiyo avatar huyo ni mwanamama wa Kamarekani hana uhusiano na Zanzibar kabisa.
Nimeongea Zanzibar katika context ya dhambi na sheria. Mbona leo umekuwa mgumu hivyo kuelewa. Naona wamepiga ikulu kijana!!
 
Among those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.
Siasakali wàtupu
 
Mimi sijui jamani huwa Kuna saa nampendaga tu JPM ila nilivyoona Rostam Ikulu mwili ulisisimka kwa kweli nilihisi hatuachi wala hatatuacha salama hata kidogo. It a matter of time Rostam atatuuza wazima wazima. Yaani JPM please mwanga lie huyu mtu kwa macho ya kiroho sio Ya kiuchunguzi, au ya kibinadamu tumekwisha
Poleni sana sisi wengine tuliona kuwa mmetuletea janga tangu akiwa Waziri hatukuwa tunamkubali ndio maana kwenye uchaguzi kanga zilipokuwa zinapeperushwa kwaajili yake tuliyajua haya! sema wadanganyika wengi wako kama kenge mpaka damu imtoke ...huyo ndugu anaamini kuongoza watu ni kumwaga Omo believe me hakuna atakachofanikiwa!
 
Hebu ñioneshe hiyo ripoti wapi imesema Rostam kafungua kampuni Mauritius, labda pamenipita!
Nikuonyeshe mimi wakati hata ripoti yenyewe hujaisoma? Wasomi wa kitanzania hao!!! Halafu huoni kama kuna swali limeulizwa kwanini siku chache baada ya RA kuibadilisha Mihani Gas na kuiita Taifa Gas, imenunuliwa na kampuni kutoka Mauritius? Taifa Gas kwani ya nani?

Acha mambo ya kujikunyata kunyata nyuma ya watu. Tafuta sehemu yako halafu utukaribishe tukuone. Kila uchao ukiona jina lenye dini yako, hutaki tuulize maswali hata kama yapo
 
Nikuonyeshe mimi wakati hata ripoti yenyewe hujaisoma? Wasomi wa kitanzania hao!!! Halafu huoni kama kuna swali limeulizwa kwanini siku chache baada ya RA kuibadilisha Mihani Gas na kuiita Taifa Gas, imenunuliwa na kampuni kutoka Mauritius? Taifa gas kwa ni ya nani?
Acha mambo ya kujikunyata kunyata nyuma ya watu. Tafuta sehemu yako halafu utukaribishe tukuone. Kila uchao ukiona jina lenye dini yako, hutaki tuulize maswali hata kama yapo
Naona unampa ya medulla oblongata! Hizo si za uso bali za medulla
 
For several years I've been asking myself why most companies in Tanzania (MNCs) are registered in mauritius, that is are operating from mauritius. Now I know the reason. Can you please send more names please
 
Mada Kama hii inapendeza kweli nikichangia kwa lugha ya malikia Kama ilivyowasilishwa hapa..vinginevyo nitaonekana Kama nawapigia kelele..tuko pamoja lakini..
 
For several years I've been asking myself why most companies in Tanzania (MNCs) are registered in mauritius, that is are operating from mauritius. Now I know the reason. Can you please send more names please

Can u plz list those companies u saw was registered in Mauritius......
 
Kumbe nilikuwa sawa kuwachana walikwepa sana kodi pindi imeanzishwa sijui sasa hivi
Hapana si kweli. Soma afisa wa TRA anasemaje kwenye post namba moja.

Walichpfanya si kosa.

Kama tunazitaka hizo pesa zibaki TZ tubadili tu viwango vya kodi nilishawahi kupendekeza ifanywe 10% across. Uone kama kuna mfanya biashara wa Tanzania ataanzisha offshore company. Tena tuta attract na wafanya biashara kibao wa njr ya Tanzania.

Mradi tuwe na ustahamilivu kama Mauritius. Si unaona hito article mabeberu wanavyoiandama?

Hakuna kosa hapo kwa kampuni za Tanzania hapo kuna "kosa" la kupikwa na mabwana wakubwa zenu. Pesa zilikuwa zinawekwa kwao sasa wanakasirika.
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom