GreedyKenyan
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 240
- 428
Tax avoidance sio kosa. Tax evasion ndio kosa.
Nipo mkuu. Majukumu yalizidi, nimerejea. Kuna mengine mapya yataibuka soon tunavyoelekea Uchaguzi. Njia za kutafuta fedha za uchaguzi baada ya 'Wakuu' kuzikataa hela za mabeberu "UNDP" naona kama zimebadilika; wamesababisha watu turudi kazini.Content nitasoma baadae,
Nimefurahi tu kuona Mkuu Robot uko, maana long time umeadimika Sana Brother.
Nilitoa mbona majina 99 na ipo hapa JF. Hamkuwa kwenye mood ya kunisikiliza. Google utaiona hapa hapa JF. Mlisema wahindi watupu 😁😁😁 mlikuwa na majina yenu mlitaka kuyaonaMh Zitto heshima yako.
Nakukumbusha tu ulituahidi kutuletea orodha ya Watz walificha pesa uswisi.
Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kutuletea orodha hiyo. Else unatupa mashaka kuwa huenda uliwekwa mfukoni.
Bado tuna hamu kuipata orodha ile Au tuchukulie tu ilikuwa ni tamthilia ya isodingo. Sawa na tamthilia za mtoto mpendwa wa baba?
Poa kaka,Nipo mkuu. Majukumu yalizidi, nimerejea. Kuna mengine mapya yataibuka soon tunavyoelekea Uchaguzi. Njia za kutafuta fedha za uchaguzi baada ya 'Wakuu' kuzikataa hela za mabeberu "UNDP" naona kama zimebadilika; wamesababisha watu turudi kazini.
Ulikuwa unasubiri nini kuyataja hayo makampuni?
Seems you have been hiding tangible infos kwa manufaa ya umma huku ukiiacha serikali ikipoteza mapato kwa sababu haikuhusu...
Kumbuka unalipwa mshahara kutokana na kodi zetu
unalipwa posho kwa kodi zetu
mafuta ya gari ni kodi zetu (unalipwa)
unalipiwa nyumba na serikali etc.
Be loyal just once in your lifetime
amesha compromise na he has price tag
😱😰🙈🙈😬😂😂🔥🔥🔥🔥🙋🙋Nilitoa mbona majina 99 na ipo hapa JF. Hamkuwa kwenye mood ya kunisikiliza. Google utaiona hapa hapa JF. Mlisema wahindi watupu 😁😁😁 mlikuwa na majina yenu mlitaka kuyaona
Sasa broo si tunajua hii ya taifa ambayo wakubwa wanataka masomo yooote kabisa pamoja na kemia itumike kufundishia.Ila watoto wao wkasome kule ambako hata kiswahili kinafundishwa kwa hiyo lugha yako.Thanks Invinsible. Shida yetu wamatumbi ni hiyo lugha. Tutaanza kusugua vidole chini maana hatutaweza kusimulia huu umbea mpya mjini.
Over all, Mauritius is the safe haven for companies avoiding taxes. Some few have relocated to that destination. Many more are planning to do so.
Nafuta kauli yanguMagazeti: Zitto ataja majina ya walioficha mabilioni Uswizi
Magazeti yanayoheshimika hapa Tanzania yote yamekuja na habari tajwa hapo juu. Hii inahitimisha ubishi wa jana ya kuwa Zitto ameshindwa kutaja majina ya wahujumu uchumi hao hapo jana Mwembeyanga. Niwatakie Jumapili njema na Ramadhan Kareem. ================================== Dar es Salaam...www.jamiiforums.com
Acha uvivu soma hiyo ripoti uchangie maoni..Content nitasoma baadae,
Nimefurahi tu kuona Mkuu Robot uko, maana long time umeadimika Sana Brother.
Mada imemgusa....Hatimaye leo Zito amechangia maada , ni hilo tuu
HAHAHAAAAAAA NA HIZO COMMENTS ZINAZOENDELEAA UTAHAMIA MMU SOON MAANA WAMEAMUA KUJIMWAGA KULEKULEE AKUEEMEEEE AKUEEENEE UR THE LVN GADO....Thanks Invinsible. Shida yetu wamatumbi ni hiyo lugha. Tutaanza kusugua vidole chini maana hatutaweza kusimulia huu umbea mpya mjini.
Over all, Mauritius is the safe haven for companies avoiding taxes. Some few have relocated to that destination. Many more are planning to do so.
Mmesoma vizuri na mmeelewa mlichokisoma?"Among those names were business mogul, Rostam Aziz"
Bado kuna anayeamini tunapambana na ufisadi!? Au tunakunywa nao chai na kupishana kwenye podium.