JF Exclusive: Makubaliano ya SFO na BAE Sytems yaliyoiweka Nje Serikali ya Tanzania

kwa hiyo serikali yetu ya tanzania tunamdai shailesh vithlani chenji yetu na si baes.
 
kwa hiyo serikali yetu ya tanzania tunamdai shailesh vithlani chenji yetu na si baes.

tatizo: Vithlani alichukua dola milioni 12.4 tu!!! lakini za BAES ni karibu dola milioni 60 za zawadi; so you tell me yupi mzuri kumdai kwa furaha?
 
sasa huko nako inawezekana ndiyo maana aliwekwa kijana Hussein Mwinyi. ...hivi huyu dokta naye anao uwezo wa kuhoji mambo kama haya kweli!? Sio kitu kizuri kukata tamaa (inabidi iwe mwisho wa vyote) lakini mimi naanza kuangukia huko kuhusiana na mustakabali wa TZ
Mimi nadhani tumshukuru Membe hata kwa hili maana ni yeye peke yake ktk Serikali nzima ndio aliyekuwa akilisema wazi wazi suala la Rada. Kumbuka Rushwa hii imetokea Wizara ya Ulinzi, mbona hatuulizi humu ndani, Hussein Mwinyi anachukua hatua gani?????
 
Kaongea pumba gani? Lini na wapi?

Alisema nchi yetu/serikali inakuwa kama haiaminiki ndo maana wao wanakuja na NGO zao ili pesa itumike kiusahihi!. Membe anazipangia pesa hizi na matumizi ya shule, madawati. Pesa za kupunguza makali ya uchumi walizopewa makampuni ziko wapi! Ujinga kabisa!!!
 
Hata mimi hilo ndilo linalonitatiza katika sakata hili. Wenyewe tuliwaruhusu watuibie halafu tukakaa kimya tu, pasipo hata kuwawajibisha wale walioruhusu wizi huo. Mr Membe, tujibu swali hilo kwanza maana nimekusikiliza katika taarifa zako mbali mbali kuhusu suala hili, hilo hulikwepa, na huligusii kabisa.

HAHAHHAHA great thinkers wa JF BAE walituibia kwa Kuuza kwa Bei kubwa! Huo ndio wizi wa BAE! Lakini kama mna jambo lenu na membe atawapa majibu!
 
Akina membe wanachachamaa nchi yetu kupangiwa namna huyo fedha itakyoletwa (Kwa kutumia NGO ZAO) na namna zitakavyotumikwa kwa namna NGO hizo zitakavyoona inafaa.. Iweje akina membe wasikubaliane ili hali wao i hakuifungili kes hiyo BAE... kama ni uchunguzi, ulifanywa na SFO .. hakukuwa na makubaliano kwamba ushahi wao pia utumike Tanzania na SFO si mali ya Tanzania.. mali ya Tanzania ni PCCB.. wao walisema kila kitu safi.. sasa iweje tena leo wakane kauli zao na kusema kuna wizi wakati tuliambiwa na PCCB kwamba mambo ya Rada ni usafi mtupu? Pia kuhusu fedhwa hizo kurudi serikalini Tanzania.. sikubaliani kwa sababu tu kwamba wale waliotufikisha hapa akiwe yule aliyesema tule nyasi bado wana hisa serikalini... ni wabunge...chenge yuko ndani ya chama, Lowasa na wengineo kibao...na hata hao wabunge waliokuja kuzifuatilia utaona kwamba kwamba aslimia 95 kati yao ni chama twawala..ya nini tuwaamini wakati walituambia mambo yakuwa safi mpaka mwanamume mwingine na serikali yake SFO NA uk KUJA kutupigania na kutuonesha kwamba kulikuwa kuna dalili ya kila aina mlungula ulitembezwa hadi kwa policy makers. Chenge na wengineo....

Wawape wenzao na wao wale maana tayari wamekura zao sasa ni zamu yetu kupitia mashirikia ya NGO YA WAGENI nasi tule kiaina hata kama mlo hautakuwa kamili basi na sisi tutaonja walu kidogo...

na wewe ni Great thinker? kazi kweli kweli!
 
Wizi wa aina hii umedhibitiwa sasa nchi hii? Bado tunaporwa kijinga namna hii? Nani aisimamie ile sheria ya rushwa ya wakati wa Mwalimu irudi?
 
Back
Top Bottom