JF Exclusive: Mahojiano ya Munayi na Picard wa Dowans na Kamati ya Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Exclusive: Mahojiano ya Munayi na Picard wa Dowans na Kamati ya Mwakyembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 14, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Wengi tumeiona ripoti ya Mwakyembe, na wengi tumeyasikia kwa kirefu sana masuala ya Dowans na Richmond. Lakini chini ya kiapo (under oath) wakurugenzi wa Dowans Bw. Munayi na Picard walisema mambo ambayo inabidi tujiulize kama yalikuwa ni ukweli mtupu au kwa makusudi waliamua kulidanganya Bunge. Hii ni sehemu ya kwanza ambayo kwa kushirikiana na ka-nzi tunaweza kuwaletea.

  Please do enjoy.

  CLICK HERE TO DOWNLOAD
   
 2. I

  Igembe Nsabo Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii nchi hii itaendelea kuwa jamvi la kulalia wageni! na jamvi hilo kuachwa hovyo hovyo mbila wa kuliangalia hata mwenye jamvi hilo naye aliona halina thamani kwake!
  Tunahitaji kubalisha mind set zetu, hii nchi ni yetu na tusitegemee kuachia foreign kuwa ndo watatutatulia matatizo yetu!!
   
 3. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama tumeshindwa kufanya kitu chochote kuhusu hii dowans kwa usahihi na kwa haraka, basi tukubari kushindwa na kusamehe. Hatuwezi kuliongelea hili swala milele huku majirani zatu wakituacha kwa kasi sana. Dawa ya dowans ipo Chadema na sio hawa wakina Mwakyembe.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Lazime tuache ushahidi kuwa watoto wetu watakapokuja kuuliza "why?" tuwaambie kuwa tulishindwa si kwa sababu hatukujaribu.
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  The Eastafrican wameripoti kwamba sheria manunuzi ya vifaa vya umma hapa Tz inafanyiwa chepuo irekebishwe kuruhusu ununuaji mitambo / vifaa chakavu ili serikali iweze kununua mitambo ya Dowans!
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  thanks mwanakijiji
   
 7. m

  mbarbaig Senior Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Thanks, ntaisoma bada ya kazi leo na kikombe cha kahawa ya mbeya
   
 8. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii mzee
   
 9. m

  mbarbaig Senior Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nilisema ningesoma bada ya kazi nikakosea ku scan kwa macho nimejikuta nimeimaliza...MK pls ulipopakata ndio patamu penyewe naomba umalizie kunyunyiza
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  huyo guy yaan kama sio MD..amezidiwa na munayi katika kujieleza....munay ndo kaeleza kuliko huyu mkanada.........
  mwanakijiji maliza na huyo mtu wa takukuru..........
   
 11. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,290
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Leo tunaambiwa Picard na Munayi ni miongoni mwa wenye hisa Dowans!
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ninavyo ona wamiliki wa iptl, rich/dowans na aggreko ni viongozi wale wale wa serikali wakitumia vivuli vya watu kutoka nje.
  asante kwa hii kitu , tunasubiri muendelezo wake
   
 13. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kuna kitu kimejificha hapa,ila tunajifanya hatujui kin acho endelea na huu usili tulionao moyoni ndio unaotumaliza watz
  kuleni tu watu weupe mbona tumeshindwa wenyewe kuamka?
  kama kweli tuna uchungu jamani tuanze sasa kutoa elimu ya uraia kwa watu wetu,la sivyo tutakuwa tukilia hadi mwisho wa dunia
  angalia kenya,jamaa wamemweleza raisi kuwa uteuzi wako hatukubaliani nae live bila chenga,sisi hata harufu yake tunaiogopa
  tuamke sasa
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,564
  Likes Received: 18,297
  Trophy Points: 280
  Asante Mzee Mwanakijiji kwa mahojiano haya, nikitulia, nitayasikiza kwa kina, ila isije ikawa kazi ndia imeanza na kujikuta mpaka wewe Mzee Mwanakijiji, umepokea kijiti kuendelezea pale Salva alipoishia!
   
 15. koo

  koo JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kufahamu sio kupotea nashukuru mk
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  ndio maana inabidi niende sabbatical huu upuuzi umeanza kuniongezea mvi kwa kiwango ambacho kinapingana na mantiki na katika sehemu ambazo hata wataalam wanaweza kushangazwa!
   
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante na ubarikiwe!!
  Naonda part 2 tutaisubiri kwa hamu...

  Nchi hii basit tu...
   
 18. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyo Guy ameongeza taarifa ya ziada kuwa Advocate Ringo ni shareholder mwingine. Munay haikusema hii
   
Loading...