JF Exclusive: Hukumu ya Dowans dhidi ya Tanesco (Documents)

Dec 2, 2010
15
2
d4.jpg d2.jpg d3.jpg d1.jpg d7.jpg d5.jpg d6.jpg d0.jpg
pencil.png
 
Kula 5!

Unajua we need Wikileaks in Tz kwani mambo yanayohitaji ku-leak for public interest ni mengi sana.

Issue zote hizo za Richmond/Dowans ya (RA & EL) yawezekana is a 'great conspiracy' to siphon monies from the people of Tanzania.

Madudu yote ya IPTL, Meremeta, Mwananchi Gold, Deep Green, Buzwagi, Richmond/Dowans na mengine mengi kama vile UCHAKACHUAJI MATOKEO YA UCHAGUZI 2010 yanahitaji kuwa WIKILEAKED!
 
Wikileaksbongo,

hongera sana kwa mwanzo mzuri, nadhani huu ni mwanzo tu na una mengi zaidi ya kutuletea hapa.
 
yaani kuanzia kiongozi wa team, mpaka coacher wote wanauza team, na kuwanunua baadhi ya wachezaji/wote na kuwaacha mashabiki wana shangaa, ndio ilivyo fanya sirikali ya tanzania, na kuwaacha wadanganyika wana shangaa, hivi kweli team ya daraja la pili imetufunga? hiii ndio Dowans na Serikali tulio ipigia kura za mshindo kama sio za kishindo
 
Lawyers wa Tanesco walikuwa kina nani??????

U can see from beginning Richmond walibebwa na Partners wao Msabaha, Masha na Lowassa from 2006.

Then Dowans walikuwa wanabebwa na partner wa RA Idris kama MD wa Tanesco.

Kwa hiyo decision zote zilikuwa zinafanywa na Tanesco wakijua kuwa at the end benefits zina kwenda Dowans.

Lakini pamoja na yote hayo, lazima APPEAL ya hii judgement iwepo ASAP>

Mbona sisikii watu wakiongelea hili???

Dowans WASILIPWE, na kina LISSU na malawyer wengine wazalendo ebu tupeni OPTIONS maana mkimwachia Mkwere tutasikia Dowans wameshalipwa.
 
Heko na ongezi kwa wahusika wa PPRA kwa kusoma mtiriko mtazamo wangu mawazo na ushauri waliotoa ulikuwa ni wa kufuata maadili ya kazi taaluma zao , uzalendo na sheria .

Kama kawaida serikali yetu imeonyesha kuna communication breakdown kwenye system yake. kunapokuwa na mambo yanayohitaji wahusika wa fani mbali mbali. Na udhaifu huu wa mawasiliano unaofanywa ama kwa makusudi au kwa umbumbumbu ndio inakuwa faida kwa makapuni kama Richmond.
 
Back
Top Bottom