Unajua we need Wikileaks in Tz kwani mambo yanayohitaji ku-leak for public interest ni mengi sana.
Issue zote hizo za Richmond/Dowans ya (RA & EL) yawezekana is a 'great conspiracy' to siphon monies from the people of Tanzania.
Madudu yote ya IPTL, Meremeta, Mwananchi Gold, Deep Green, Buzwagi, Richmond/Dowans na mengine mengi kama vile UCHAKACHUAJI MATOKEO YA UCHAGUZI 2010 yanahitaji kuwa WIKILEAKED!
yaani kuanzia kiongozi wa team, mpaka coacher wote wanauza team, na kuwanunua baadhi ya wachezaji/wote na kuwaacha mashabiki wana shangaa, ndio ilivyo fanya sirikali ya tanzania, na kuwaacha wadanganyika wana shangaa, hivi kweli team ya daraja la pili imetufunga? hiii ndio Dowans na Serikali tulio ipigia kura za mshindo kama sio za kishindo
Heko na ongezi kwa wahusika wa PPRA kwa kusoma mtiriko mtazamo wangu mawazo na ushauri waliotoa ulikuwa ni wa kufuata maadili ya kazi taaluma zao , uzalendo na sheria .
Kama kawaida serikali yetu imeonyesha kuna communication breakdown kwenye system yake. kunapokuwa na mambo yanayohitaji wahusika wa fani mbali mbali. Na udhaifu huu wa mawasiliano unaofanywa ama kwa makusudi au kwa umbumbumbu ndio inakuwa faida kwa makapuni kama Richmond.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.