Ok niko kwa simu sasa nipate muda kidogo nijue nini kinatokea...
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wazee wengine wanazeeka vbaya kwel apa ni unafundisha uwoga ili ule mlungula sio,
shauri yako watakupoteza na wewe,ivi unafikiri polisi hawajui kilichotokea?
@sweetlady ina maana wamemuonyesha ...? tunasikia yuko ICU? Tjuze Please!!Channel ten live Dr Ulimboka .....ameumizwa sana
sweetlady ina maana wamemuonyesha ...? tunasikia yuko ICU? Tjuze Please!!