Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,455
- 29,134
Wadau,
Nipo katika research flani juu ya ugonjwa na wagonjwa wa Ukimwi,
Kupata watu wengi zaidi katika hili suala kutanifanya nipate mwangaza zaidi juu ya huu ugonjwa hivyo kunisaidia kwa namna moja ama nyingine.
Labda nianze kwa kuuliza kuhusu HIV, nini asili ya huu ugonjwa wa HIV?
Huu ugonjwa hushambulia sehemu zaidi za mwili?
Nimepata kusikia kua HIV si ugonwja maalumu, bali chanzo cha magonjwa, kuna ukweli gani hapa?
ARV zinatengenezwa na nini?
mtu anaweza akadumu with ARV kwa muda gani?
Nini gharama zake?
Masharti ya hizi ARV ni nini?
Naskiaga hua zinafikiaga mahali zina-expire baada ya mwili kuzizoea, je ni kweli?
Na baada ya hicho kipindi mgonjwa afanyaje?
Kubadili damu nako ni suluhisho?
Nini madhara yake?
Nini faida zake against ARV?
Wapi kwa DSM/Tanzania/Africa wanapobadili hizo damu?
Nini cost zake?
Nisaidieni tu mwenzenu, unaweza ukajibu unaloliweza!!!