JF chanzo cha habari Tanzania?

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Jamani kuna habari nyingi ambazo zimeandikwa au kujadiliwa humu JF lakini baada ya muda nazisoma katika magazeti ya udaku na vyombo mbali mbali vya habari nchini! Je, ina maana kwamba JF ni kitivo cha habari au JF ina kopi na kupesti?
Kama magazeti ya udaku yanachukua habari humu JF mbona hawataji 'source: JF'??
 
Kuna ukwel ktk hii title yako.
Kwa mara ya kwanza niliijua JF kupitia mwananchi.com ktk net.
Kulikua na habar naisoma wakasema habar hiyo husika ilianza kujadiliwa kama rumours ktk forum maarufu nchini, JF.
Nkajiambia oooh kumbe kuna forum wa2 wengi wanaipenda. Basi nka-google na kuipata JF.
From there nkawa kama visitor tu kuchunguliachungulia 2 mwisho nkanogewa na kuji-regista as a memba.

So u c? JF sometimes ina2miwa kama source na vyombo vingine vya newz.

Viva jf
 
Jamani kuna habari nyingi ambazo zimeandikwa au kujadiliwa humu JF lakini baada ya muda nazisoma katika magazeti ya udaku na vyombo mbali mbali vya habari nchini! Je, ina maana kwamba JF ni kitivo cha habari au JF ina kopi na kupesti?

Kama magazeti ya udaku yanachukua habari humu JF mbona hawataji 'source: JF'??​

Jibu unalo ndugu
 
Back
Top Bottom