JF bwana! Humu kila mtu anajua Kiingereza na anamiliki magari

Mi sijamchukia mtu na hua sina roho hiyo na inawezekana napenda maendeleo kuliko hata wewe
Wangekuwa wanajiona matajiri wangeleta thread kama hii kuwakandia wasio kuwa nayo. Ila wewe unayewaona wenye gari matajiri umekuja kufungua uzi.

Mimi sina gari, ila napomuona mtu ana gari ananipa hamasa ya kuzidi kupambana ili siku moja na mimi nimiliki. Kumchukia aliyekuzidi mafanikio hakujawahi kuwa msaada kwenye mihangaiko yetu. Sana sana Chuki itakuletea msongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom