FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,373
Peoplez nawapenda sana nashukuru mungu tumeishi vyema kuanzia January mpaka sasa tunaelekea mwisho wa mwaka ,na tunatarajia kuanza mwaka mpya wa 2011 ,naomba mwenyezi mungu wa upendo atupe salama woooooooote JF na family zetu na wale wenye ma G/F wachumba na wazee wa Infiiiiii. tuufukie na tuanze salama new year huku malengo yetu yakitimia.
Nawashukuru wapwaz na mabinamu wote tulioshirikiana bila matatizo katika post mbali mbali na kimawasiliano,mmekuwa watu wema sana kwangu na imani katika harakati zangu za Ubunge 2015 mtanipa support ya nguvu.Natanguliza shukrani
Nadhani sitaingia JF kwa kipindi chote hiki ama nitaingia kwa kuchungulia na kutoka .
Upendo wangu uwe mioyoni mwenu mpaka hapo January tutakapokuwa wote kwa mapenzi yake mwenyezi mungu.
I love you all and God bless you
FL1
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: