Tunazungumzia rangi si timu. Mtoa hoja nanataka kwenye jezi za timu ya taifa kuwe na rangi nyekundu kwa vile ni rangi ya timu kubwa hapa nchini. Je hii ni sababu ya msingi? Azam je nao tuweke rangi yao kwenye jezi za timu ya taifa?
Ewaaaaaa. 😀😀Ngoja tukaone yanga
Wanaenda Fanya nini mbele ya sadio mane na maharez
Hahahaaaaa. Mpaka leo Swahiba bado unanifananisha tu lol.Hivi wewe ndo yule swahiba au nakufananisha?
Sijui Leo wata upiga Uzi huu mbele ya mafarao pale;Ewaaaaaa. 😀😀
Ule wa Ugenini. 😜😜(jokes)Sijui Leo wata upiga Uzi huu mbele ya mafarao pale;
Sasa ndo nimepata uhakika swahibaHahahaaaaa. Mpaka leo Swahiba bado unanifananisha tu lol.
Ndio yeye aiseee.
na mlivo wa vivu wa kununua jezi zenuUle wa Ugenini. 😜😜(jokes)
Sijajua Mtani.
Haya ukishajua ziuzwapo na mie unitaarifu nikaununue swahiba , hasa ule uzi wa manjano umetulia sana. 😀😀Sasa ndo nimepata uhakika swahiba
Ka mie sinaga uvivu Mtani na ndio sababu nina jezi nyingi za Yanga kwa rangi tofauti.na mlivo wa vivu wa kununua jezi zenu
Sijui nani atazivaa
Hizi ni bangi sasa,hizo si rangi za Yanga niza bendera ya taifa
Sawa swahiba ila pale Karume uwanjani/ofisi za TFF zitapatikaHaya ukishajua ziuzwapo na mie unitaarifu nikaununue swahiba , hasa ule uzi wa manjano umetulia sana.
Mnaoteseka nyie Kilomoni fc, kisa rangi yenu haipo national teamNani kakuroga kwamba kila timu ya Taifa sharti iwe na rangi ya bendera ya Taifa? Mbona vyura mnateseka sana?
Nani asingeivaa, afu awe nike hapoHii kazi ya designing wangempa Speshoz angetenda haki kwenye hilo.
Angalia hii sample yake. View attachment 1125517
Jezi nzuri sanaa hiyo.Nani asingeivaa, afu awe nike hapo
Au kijani iliyoiva muundo huoJezi nzuri sanaa hiyo.
Yah ni uzi mzuri sana.Au kijani iliyoiva muundo huo