Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

Liiambie hilo sengerema linafikiri tunaongelea timu ya Taifa hapa, nyambaf zake. Hiyo mijezi ya Yanga nani ataivaa pamoja na kwenda uwanjani kushangilia hilo litimu la Yanga?
Hapa tunazungumzia timu sio bendera.
 
Timu za bongo kuanzia vilabu hadi timu za taifa zinachanganya sana mashabiki kwa jezi zao. Siku timu ya taifa inacheza na mashabiki kujaza uwanya huwezi kuipata rangi. Kila mtu anakuja na kachumbari yake na kufanya uwanja kutokupendeza. Ulaya huwa hata kwenye majukwaa wanakaa kwa rangi. Sasa timu hazina jezi ya kudumu ambayo mashabiki na wachezaji wanatikiwa wavae uzalendo ndio unaanza kuharibikia hapo
 
Mi Simba uwanjani sikanyagi tena na kamwe sintashabikiwa Taifa Stars,kesho nashabikia Egypt ,nitashabikia Algeria,Kenya na Senegal,timu yoyote ya kimataifa itakayocheza na taifa stars kwa hiyo jezi ya Yanga nitanunua jezi la taifa hilo
 
Sio kweli. Hapa tunazungumzia jezi sio timu.

Rangi za jezi hutoka wapi kama sio kwenye bendera ya taifa?
mhe. rais kasema kuwa ile sio rangi ya njano bali ni rangi ya dhahabu na akaagiza mpaka zile nyimbo za primary kule watoto wanaziimbaimba zifanyiwe marekebisho.......kwa hiyo hii jezi ya njano inawakilisha vyura na sio rangi iliyopo katika bendera ya taifa
 
Na wale tunaotoka Mbeya City rangi yetu ya Kwaresma-Zambarau mbona siioni?
 
Back
Top Bottom