Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,754
Zitakuwepo version tofautitofauti.Mku pendekezo lako zuri lakini mashaka yangu ni ile panga pangua
Zitakuwepo version tofautitofauti.Mku pendekezo lako zuri lakini mashaka yangu ni ile panga pangua
Sheria za FIFA haziruhusu siasa kwenye mpira
Hahaha Lugha zingine ni za kung'ola mkuuaya nenda kachukue buku saba yako lumumba
Acha u se nge
Nimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo.
Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa.
Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.View attachment 1125390View attachment 1125392
Hapa tunazungumzia timu sio bendera.
sure mzee..nimecheka kindeziWangemtafuta DISMAS TEN awabunie jezi nzuri ya Taifa ambayo hata wachezaji wakivaa adui anaogopa sasa hizo mbona hazitishi zimekaa kaa kidiplomasia sana
Watoe njano waweke nyeusi kudadadeki.Bendera ya Taifa ina Rangi Nyekundu
Watoe njano waweke nyeusi kudadadeki.Na sisi mashabiki wa Ndanda tukalalamike wapi?!
Huku kwetu kilakitu ni siasaSheria za FIFA haziruhusu siasa kwenye mpira
naona unaanzisha mengine mkuu. kwani atatumia jina gani mkuu kati ya yale mawili
goldDhahabu ndo rangi gani?
mhe. rais kasema kuwa ile sio rangi ya njano bali ni rangi ya dhahabu na akaagiza mpaka zile nyimbo za primary kule watoto wanaziimbaimba zifanyiwe marekebisho.......kwa hiyo hii jezi ya njano inawakilisha vyura na sio rangi iliyopo katika bendera ya taifaSio kweli. Hapa tunazungumzia jezi sio timu.
Rangi za jezi hutoka wapi kama sio kwenye bendera ya taifa?
Bendera ya Taifa ina Rangi Nyekundu
Maslai na Hati ya Simba anayo Mzee Kilomoni na Bi Hindu.Hapa tunazungumzia timu sio bendera.
Kama mfadhili wa JeziMakonda ni kama nani hapo
Kwa rangi ya jezi hizo za ugenini Taifa stars haivuki kundi lakeWangemtafuta DISMAS TEN awabunie jezi nzuri ya Taifa ambayo hata wachezaji wakivaa adui anaogopa sasa hizo mbona hazitishi zimekaa kaa kidiplomasia sana