Jezi ya simba mtaani sasa elfu sabini?

Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,100
2,000
Fredy vunja bei huku mikoani jez ya simba imefikia inauzwa elfu sabini. Kama wewe ndie unatengeneza hii ya kutoa mzigo kidogo ili utengeneze mazingira ya jezi kuto patikana ili uuze zaidi wewe sio mwekezaji tunamtaka mashabiki wa simba sio wote watakao weza mudu gharama za jezi kuuzwa kiasi icho matokeo yake wewe shahidi now ukiwa taifa watu wachache sana wana wana mpya. Wengine wala hawahaiki na jezi mpya. Baada ya mwezi sie watu wa mikoani ndo watu wa kwanza kuletewa jezi feki za simba tena kwa gharama nafuu sana. Ile nguvu na uwekezaji ulioweka simba itakua ni kazi bure maana wapo wajanja tayari wameisha agiza mzigo mpya wa jezi mpya na wataziuza kwa bei rahisi mipaka inayopitia ni arusha, bukoba na mbeya zikitokea tunduma huku watauza kwa elfu saba. Hizo zako za elfu sabini utabaki nazo
Na kama kuna mtu kakudanganya kuwa ukifanya ivyo utafanya biashara kakudanganya sana biashara ya jezi haipo ivyo toa mzigo au la na wewe una mtaji mdogo huwezi meet a demand ya watu wanahitaji mzigo
Ushauri wangu badili mtizamo jezi zilizopo stoo zitoe kaka
Na pia kuna watu wachache tu ndo wanapewa mzigo hawa ukienda madukani kwao hukosi mzigo
Maduka mengi ya sinza na kinondoni yana hizi jez na huko jez inauzwa hamsini kuna biashara gani kwao tu mdo wenye mzigo wengine wakose?
Usipate tabu mkuu, bei ya jezi ni shilingi 35,000 tu.

Kama unapata ugumu na shida ya kuzipata jezi, unauziwa kwa bei kubwa maradufu, au unataka kupewa utaratibu wa kupata jezi kwa bei ya jumla, tafadhali wasiliana na FRED VUNJABEI mwenyewe kwa namba hii 0714104864.

Pia, unaweza kutembelea moja ya maduka yake yaliyotapakaa nchi nzima au ukatembelea ukurasa wake wa mtandao wa Instagram (jina Vunjabei) kwa taarifa na maelezo mengine.

Ahsante sana, kuwa mzalendo, nunua bidhaa halisi.
 
Apr 4, 2019
31
125

Iyo ni bei ya reja reja kaka mwenyewe akipigiwa simu hapokei na kuna mda simu yake ipo buzy sana
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,292
2,000
Fredy vunja bei huku mikoani jez ya simba imefikia inauzwa elfu sabini. Kama wewe ndie unatengeneza hii ya kutoa mzigo kidogo ili utengeneze mazingira ya jezi kuto patikana ili uuze zaidi wewe sio mwekezaji tunamtaka mashabiki wa simba sio wote watakao weza mudu gharama za jezi kuuzwa kiasi icho matokeo yake wewe shahidi now ukiwa taifa watu wachache sana wana wana mpya. Wengine wala hawahaiki na jezi mpya. Baada ya mwezi sie watu wa mikoani ndo watu wa kwanza kuletewa jezi feki za simba tena kwa gharama nafuu sana. Ile nguvu na uwekezaji ulioweka simba itakua ni kazi bure maana wapo wajanja tayari wameisha agiza mzigo mpya wa jezi mpya na wataziuza kwa bei rahisi mipaka inayopitia ni arusha, bukoba na mbeya zikitokea tunduma huku watauza kwa elfu saba. Hizo zako za elfu sabini utabaki nazo
Na kama kuna mtu kakudanganya kuwa ukifanya ivyo utafanya biashara kakudanganya sana biashara ya jezi haipo ivyo toa mzigo au la na wewe una mtaji mdogo huwezi meet a demand ya watu wanahitaji mzigo
Ushauri wangu badili mtizamo jezi zilizopo stoo zitoe kaka
Na pia kuna watu wachache tu ndo wanapewa mzigo hawa ukienda madukani kwao hukosi mzigo
Maduka mengi ya sinza na kinondoni yana hizi jez na huko jez inauzwa hamsini kuna biashara gani kwao tu mdo wenye mzigo wengine wakose?
Daah, huu ni utaahira, kwani ukikosa hiyo jezi inakuaje? Hebu tuhangaike na mambo ya kimsingi kwanza...
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,662
2,000
Hizi timu mbili zimeshaona wabongo ni mazuzu bara hao vuniabei angalau ziliuzwa mikoani hao utopolo walijiona wa dar na jezi hazijulikani zinapatikana wapi. Mini nitanunua ya mwaka juzi haibiwi mtu hapa
 
venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
385
1,000
Nilizunguka kariakoo nzima nilizikosa hizi jezi hasa nyeupe na nyekundu,pale sandaland dukani zilikuwepo zile za dark blue mikono mirefu kwangu hazinivutii,nikaenda ktk maduka ya vunja bei mzigo naambiwa umeisha,peembeni ya duka la vunjabei kuna maduka pale ilikuwepo moja nyekundu na moja nyeupe bei wananiambia elfu 50
 
Diazepam

Senior Member
Dec 3, 2020
160
500
Umenichekesha sana aisee, eti jezi ni jezi,, 😂😂 dah,, ila kweli yani ununue jezi elfu 70 bado timu ipigwe jezi iwe nzito tena kupita nayo mtaani.
Mkuu, kabisa yani unatoa 70 mtu kwa mkapa anapigwa sijui natembeaje mpaka home😀
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,990
2,000
Mlioko mikoani tumeni pesa kwangu niwanunulie huku ili niwatumie kueni ktk mafungu muwe Mia Mia ,rahisi wameshaaza kuwaibia huko
 
Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
395
500
Nilizunguka kariakoo nzima nilizikosa hizi jezi hasa nyeupe na nyekundu,pale sandaland dukani zilikuwepo zile za dark blue mikono mirefu kwangu hazinivutii,nikaenda ktk maduka ya vunja bei mzigo naambiwa umeisha,peembeni ya duka la vunjabei kuna maduka pale ilikuwepo moja nyekundu na moja nyeupe bei wananiambia elfu 50
You have a point to make. Kuna ukanjanja hapo.
 
makedonia

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
2,514
2,000
Fredy vunja bei huku mikoani jez ya simba imefikia inauzwa elfu sabini. Kama wewe ndie unatengeneza hii ya kutoa mzigo kidogo ili utengeneze mazingira ya jezi kuto patikana ili uuze zaidi wewe sio mwekezaji tunamtaka mashabiki wa simba sio wote watakao weza mudu gharama za jezi kuuzwa kiasi icho matokeo yake wewe shahidi now ukiwa taifa watu wachache sana wana wana mpya.

Wengine wala hawahaiki na jezi mpya. Baada ya mwezi sie watu wa mikoani ndo watu wa kwanza kuletewa jezi feki za simba tena kwa gharama nafuu sana.

Ile nguvu na uwekezaji ulioweka simba itakua ni kazi bure maana wapo wajanja tayari wameisha agiza mzigo mpya wa jezi mpya na wataziuza kwa bei rahisi mipaka inayopitia ni arusha, bukoba na mbeya zikitokea tunduma huku watauza kwa elfu saba.

Hizo zako za elfu sabini utabaki nazo. Na kama kuna mtu kakudanganya kuwa ukifanya ivyo utafanya biashara kakudanganya sana biashara ya jezi haipo ivyo toa mzigo au la na wewe una mtaji mdogo huwezi meet a demand ya watu wanahitaji mzigo.

Ushauri wangu badili mtizamo jezi zilizopo stoo zitoe kaka. Na pia kuna watu wachache tu ndo wanapewa mzigo hawa ukienda madukani kwao hukosi mzigo.

Maduka mengi ya Sinza na kinondoni yana hizi jez na huko jez inauzwa hamsini kuna biashara gani kwao tu mdo wenye mzigo wengine wakose?
MBUMBUMBU LAZIMA WALIWE
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom