Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2022/2023

photo-output.jpg
Kibibi kizee cha turin
 
Hujaona wewe ndo Kali kuliko zote ntakupa third kit tu achana na zilizotumwa

First nyekundu na second ni black wacha

Hii ni third kit itaanzq kuvaliwa rasmi kweny mechi ya kujiandaa na ligi👇👇👇

View attachment 2223995
Adidas baada ya kufanya vizuri na rangi ya pink kwa Man Utd na Real Madrid misimu kadhaa nyuma sasa wameamua kuileta Arsenal...uzi mkali🔥🔥🔥
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom