Jewish american newspaper editor suggests the assasination of obama

Kweli unaweza kuwepo mgogoro wa CIA+FIB dhidi ya Mossad? Kutangaza kumuua Rais wa marekani ni kutangaza mgogoro na vyombo hivyo nilivyovitaja vya marekani.

Au ndiyo kusema kanuni hii hapa chini ni sahihi?

Mossad=CIA+FIB+......+.....+.....
 
wanasema under Clinton Israel ilikuwa kama a state of United States...
lakini under Bush....United States ilikuwa kama a state of Israel.....

sasa chini ya Obama...mambo hayako hivyo...hata kwenda Israel ndani ya mwaka mmoja toka awe President
kama wenzie hakufanya.....kwa ufupi Obama hampendi kabisa Netanyahu.....

Netanyahu is doing all that he can so that Romney becomes the next President of the United States kwani ni rafiki yake wa karibu, walisoma wote na waliwahi kufanya kazi pamoja as consultants wa McKinsey consulting!!
 
vifaa vya kinuklia hazi fai kuanguka kwa mkono wa kiarabu haswa anaye ongozwa na chuki za "sharia" ndio malalamishi ya muisraeli

sasa hao wengine kama america waloweza kutumia mabomu ya sumu walikua wanaongozawa na ''sharia'' gani??
na yule alouwa mayahudi millin 6 je? au ndo kuwatia waarabu kila ila mbaya tu
 
Cheap publicity stunts hizo. Yaani hawa Mossad wamuue rais wa nchi ambayo inailinda Israel na mabala ya dunia, na pia ambayo inaipa Israel $billion 3 kila mwaka. Hicho kitu ni ndoto kabisa.
 
sasa hao wengine kama america waloweza kutumia mabomu ya sumu walikua wanaongozawa na ''sharia'' gani??
na yule alouwa mayahudi millin 6 je? au ndo kuwatia waarabu kila ila mbaya tu

Ndugu yangu kumbuka sadaam alivyowafanya wale warabu wakisunni ambapo mamia wao walitupiwa kemikali za sumu wakafa karibu na mipaka ya tikrit. wakati rais wa kale wa marekani Bush alipomuondoa muuaji maamlakani watu bado wanapiga domo eti maonevu. Afadhali na mapema kuondoa hofu kushinda kuja kulia baadaye kuhusu maafa.
 
Na alivyokua akifanya mauaji hayo America alikua ni rafiki yao na walikuawanamsport hawakumkemea na pia walmsaport kumpiga iran, kamatunavyoaona sasa wanavyo support Israel without asking any question. And thisis history repeating itself. Tatizo watu ni kama watoto, ni wasahaulifu sana nandio maana throught out history tunapatamiongozi mibovu lakini come next election everything is forgotten na tukomstari wa mbele tumeshika bendera
 
Back
Top Bottom