Uchaguzi 2020 Jesca Kishoa achukua fomu ya kuomba Ubunge jimbo la Iramba Magharibi - CHADEMA

Iramba magharibi waache kumpa mzawa wampe mchaga Jesca KISHOA yatakuwa maajabu ya dunia

viti maalumu alipewa tu sababu ya kabila yake sababu anatokea kilimanjaro anakotokea mwenyekiti wa chadema Mbowe wakaachwa wazawa
Kwa hiyo Kishalita ipo Kilimanjaro?
 
Iramba magharibi waache kumpa mzawa wampe mchaga Jesca KISHOA yatakuwa maajabu ya dunia

viti maalumu alipewa tu sababu ya kabila yake sababu anatokea kilimanjaro anakotokea mwenyekiti wa chadema Mbowe wakaachwa wazawa

Kumbe mchaga!
 
Nionavyo mimi kura za maoni CDM zitakwenda vizuri na wana CDM wote watakuwa wamoja baada ya uteuzi kumalizika katika majimbo yote kata zote than before. shughuli ni mtaa wa saba, kuna wateule na wale wanzangu mie aisee - ni vilio na misiba vitatawala - mbaya zaidi hakutakuwa na option tena!! once your in there is no way out !! duh.
 
Iramba magharibi waache kumpa mzawa wampe mchaga Jesca KISHOA yatakuwa maajabu ya dunia

viti maalumu alipewa tu sababu ya kabila yake sababu anatokea kilimanjaro anakotokea mwenyekiti wa chadema Mbowe wakaachwa wazawa
acha akili ya kisukuma wewe mlivyo na roho ya ukabila
 
Iramba magharibi waache kumpa mzawa wampe mchaga Jesca KISHOA yatakuwa maajabu ya dunia

Viti maalumu alipewa tu sababu ya kabila yake sababu anatokea kilimanjaro anakotokea mwenyekiti wa chadema Mbowe wakaachwa wazawa
Upotoshaji wa kijinga, tulia tu cuz hujui unalosema. Sisi wanyiramba tunajuana.
 
Dr Shika naye ametangaza nia Kino CLAN via SISIEMU.
Nabii Tito nae katangaza nia Kino kupitia CCM
tapatalk_1594044435484.jpg
 
Back
Top Bottom