Jeshi Tumieni Mbinu HII kuwakamata wauaji KIBITI

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,353
2,842
Nashangaa huo ujasusi na upelelezi huko Pwani maeneo ya KIBITI, MKURANGA na RUFIJI kuchukua muda mrefu hivyo, sijui walisomea wapi huo upelelezi au ujasusi?

Katika hali kama hiyo, na mkishawasoma wauaji mbinu wanayotumia na hasa huko PWANI basi ni rahisi kubadili mbinu zenu!!

Kwa kuwa wauaji wanavamia Polisi na viongozi wa serikali za vijiji, basi, Kila nyumba ya kiongozi wa serikali ya kijiji usiku makomandoo wawili au watatu aidha wajifiche ndani ya nyumba hizo ndani ya miezi 2-3 au wakae nje ile wawe wamejificha, zoezi hili lifanyike usiku tu na alfajiri sana makomandoo hao waondoke kurudi kambini, Vile vile, Askari wa Usalama barabarani waendelee na shughuli zao kama kawaida lakini kama mita 50 au 60 yachimbwe maandaki tena yachimbwe USIKU kabisa na udongo uondolewe na hayo maandaki kwa juu waweke kama nyasi hivi ili mtu yeyote asigundue kuwa pale kuna maandaki, humo ndani ya maandiki watakuwa wanakaa makomandoo wa JESHI wenye silaha nzito maandaki yote ni lazima yatazamane na eneo walilopo Askari polisi wa Usalama barabarani au wa vizuizi, makomandoo wote watoke mikoani wasitoke hapo PWANI, msifanye kosa mkawaua wauaji ikiwa mtafanikiwa, wapigeni miguu yao yote halafu muwakamate na kuwahoji haraka haraka baada ya kutoa taarifa zote muhimu basi muwaue kimya kimya.

Mbinu nyingine, hii inabidi ifanywe na mkuu wa mkoa au wilaya kwenye eneo lake, itisha mkutano wa wananchi wote, gaweni karatasi na kalamu na kila mtu aandike jina la mtu anayedhani ni muhusika, yule atakayetajwa mara nyingi basi ni halali yenu, mbinu hii huondoa visasi na uhasama maana watu wanakuwa wengi kwenye aneo moja, hivyo ni ngumu kubaini aliyetaja.
 
dah! yaana wakae nyumba hizohizo,eneo hilohilo na watu haohao. kweli wewe ni brigadia!!
 
Yani wewe unataka uwaweke wenzako chambo wengine wakiwa wamefichwa kwenye mahandaki. Kuna kaka wa mtu humu anagaragara kapangiwa kituo cha kazi huko.
 
Ndani ya nyumba hizo wanaingia usiku na kukaa ndani au nje kwa kujificha, halafu wanaondoka alfajiri ya saa 9-10 kurudi kambini, zoezi hili lifanyike ndani ya miezi 2-3 tu kazi itakuwa imekwisha
 
Unaleta mambo ya kwenye Movie. Nafikiri serikali ingetakiwa iwe na mitambo yenye uwezo wa kugundua maongezi yoyote ya kigaidi kupitia simu zinazotumia minara iliyo huko Kibiti.

Mkuu hao wauaji hawatumii SIMU, ingekuwa wanatumia simu wangekuwa wamishadakwa zamani sana, simu hawatumii, usidhani polisi ni wajinga au jeshi kiasi hicho kwa muda wote huo wasi-trace simu maeneo hayo
 
Yani wewe unataka uwaweke wenzako chambo wengine wakiwa wamefichwa kwenye mahandaki. Kuna kaka wa mtu humu anagaragara kapangiwa kituo cha kazi huko.

Mkuu kila mtu na majukumu na utaalamu wake, huyo kafunzwa kila kitu sasa anaogopa nini hapo? huyo hatufai jeshini, na inaonekana alifata mshahara wa kila mwisho wa mwezi na si kufanya kazi
 
Mkuu hao wauaji hawatumii SIMU, ingekuwa wanatumia simu wangekuwa wamishadakwa zamani sana, simu hawatumii, usidhani polisi ni wajinga au jeshi kiasi hicho kwa muda wote huo wasi-trace simu maeneo hayo
Duhh, basi ni hatari kama Baba zao wa huko Jangwani kwenye mashamba ya mafuta.
 
Nashangaa huo ujasusi na upelelezi huko Pwani maeneo ya KIBITI, MKURANGA na RUFIJI kuchukua muda mrefu hivyo, sijui walisomea wapi huo upelelezi au ujasusi?

Katika hali kama hiyo, na mkishawasoma wauaji mbinu wanayotumia na hasa huko PWANI basi ni rahisi kubadili mbinu zenu!!

Kwa kuwa wauaji wanavamia Polisi na viongozi wa serikali za vijiji, basi, Kila nyumba ya kiongozi wa serikali ya kijiji usiku makomandoo wawili au watatu aidha wajifiche ndani ya nyumba hizo ndani ya miezi 2-3 au wakae nje ile wawe wamejificha, zoezi hili lifanyike usiku tu na alfajiri sana makomandoo hao waondoke kurudi kambini, Vile vile, Askari wa Usalama barabarani waendelee na shughuli zao kama kawaida lakini kama mita 50 au 60 yachimbwe maandaki tena yachimbwe USIKU kabisa na udongo uondolewe na hayo maandaki kwa juu waweke kama nyasi hivi ili mtu yeyote asigundue kuwa pale kuna maandaki, humo ndani ya maandiki watakuwa wanakaa makomandoo wa JESHI wenye silaha nzito maandaki yote ni lazima yatazamane na eneo walilopo Askari polisi wa Usalama barabarani au wa vizuizi, makomandoo wote watoke mikoani wasitoke hapo PWANI, msifanye kosa mkawaua wauaji ikiwa mtafanikiwa, wapigeni miguu yao yote halafu muwakamate na kuwahoji haraka haraka baada ya kutoa taarifa zote muhimu basi muwaue kimya kimya.

Mbinu nyingine, hii inabidi ifanywe na mkuu wa mkoa au wilaya kwenye eneo lake, itisha mkutano wa wananchi wote, gaweni karatasi na kalamu na kila mtu aandike jina la mtu anayedhani ni muhusika, yule atakayetajwa mara nyingi basi ni halali yenu, mbinu hii huondoa visasi na uhasama maana watu wanakuwa wengi kwenye aneo moja, hivyo ni ngumu kubaini aliyetaja.
Mawazo mazuri mkuu. Lakini ujuwe kama ni ugaidi, basi mbinu hizo sidhani kama zitafanya kazi. Hizo mbinu zinafanya kazi zaidi kwenye jamii kama mashuleni ama vyuoni na makambini, ila si sana kwenye ugaidi wenyewe. Fuatilia nchi zenye matendo ya ugaidi utagundua.

Fuatilia hata Iraq tu utapata somo. Kijiji ama mji unaisha kabisa lakini magaidi bado wanakuwepo na kuoperate bila tabu.

Magaidi huwa wanatumia mbinu ya guerila warfare, ambapo huwa hawakai hapo wanapovamia ama kufanya ambush. Wanapafahamu vyema, na pia wanakuwa na mainformers wao wanaowapa taarifa ya kila kinachoendelea.

Umezungumzia hiyo mbinu ya kutajana kwa kuwakusanya wananchi na kuwaambia waandike jina/majina. Hiyo haina tofauti sana na ambayo yameshafanyika ambapo kuna waliotajwa lakini pia kunawaliouwawa kwa kutaja.

Kama ni kutajwa, basi huyo ambaye atatajwa mara nyingi zaidi, angekuwa ameshatajwa kwasababu anajulikana na wengi. Kwahiyo angeshajulikana hadi usawa huu.

Magaidi wanajipanga na hawakurupuki, na ndiyo maana ni shida sana kuwaondoa mahali wakishaji establish. Afghanistan, Iraq, Libya, Syria ni mifano michache tu. Wananchi wanateketea lakini bado magaidi wamo humo humo.

Pengine ukweli kwamba kuna wananchi walio wengi ambao wanawapa support. Same thing is happening over there. Nadhani tuanze kwa kufuatilia madai yao na kama ni madai ambayo kuna wananchi wanaona ni sahihi, basi kutumia nguvu siyo suluhisho.

Mataifa ya magharibi wanatumia nguvu, lakini sisi tunaweza kutumia a combination of tactics, nguvu only when necessary.

Kuhusiana na ujenzi wa mahandaki karibu na maeneo ya traffics, pia hiyo ni tempotary solution. Maana kuwauwa magaidi wawili watatu siyo suluhisho. Kufahamu walipo na kudeal na mtandao wao ndo solution. Kuwashinda magaidi siyo kuwauwa baadhi. Wenzetu wa magharibi wameweka msimamo kuwa hawajadiliani na magaidi. Hiyo kwao ni sawa tu kwasababu wanapambana na magaidi kwasababu ya maslahi mapana ya taifa lao. Na hawataweza kukamilisha madai ya magaidi ambao wanataka nchi zote za magharibi kuondoka kwenye nchi zao.

Sisi ni tofauti, tuna uwezo wa kusikiliza kwanza hayo madai yao ambayo inaonekana hata baadhi ya wananchi wanakubaliana nayo.
 
du imebidi nicheke kama BREGARDIA wangu una mawazo haya kuhusu kibiti,pale believe on me hapahitajiki nguvu,vitisho bali ni utaalamu wa kitechnolijia tu.ingiza watu wa forensic inverstigators,clinical na wataalam wa kutujengea profile za watuhumiwa,kusanya evidence na hizo evidence will lead us kwa watuhumiwa.please my Breg.mambo ya nguvu sana tuachane nayo hii ni karne ya tech.
 
Bila shaka muandika uzi nae anahusika na mauji huko kibiti kwanini anataka atuchomeshee askari wetu
 
Hivi watu wa kibiti Hawawafahamu kweli hawa watu? Wanajisikiaje ndugu zao wanapokufa...
 
cha msingi waombe msaada fbi tu maana wale jamaa ukiwapa mission wataifanya na kufanikiwa 2
 
Nashangaa huo ujasusi na upelelezi huko Pwani maeneo ya KIBITI, MKURANGA na RUFIJI kuchukua muda mrefu hivyo, sijui walisomea wapi huo upelelezi au ujasusi?

Katika hali kama hiyo, na mkishawasoma wauaji mbinu wanayotumia na hasa huko PWANI basi ni rahisi kubadili mbinu zenu!!

Kwa kuwa wauaji wanavamia Polisi na viongozi wa serikali za vijiji, basi, Kila nyumba ya kiongozi wa serikali ya kijiji usiku makomandoo wawili au watatu aidha wajifiche ndani ya nyumba hizo ndani ya miezi 2-3 au wakae nje ile wawe wamejificha, zoezi hili lifanyike usiku tu na alfajiri sana makomandoo hao waondoke kurudi kambini, Vile vile, Askari wa Usalama barabarani waendelee na shughuli zao kama kawaida lakini kama mita 50 au 60 yachimbwe maandaki tena yachimbwe USIKU kabisa na udongo uondolewe na hayo maandaki kwa juu waweke kama nyasi hivi ili mtu yeyote asigundue kuwa pale kuna maandaki, humo ndani ya maandiki watakuwa wanakaa makomandoo wa JESHI wenye silaha nzito maandaki yote ni lazima yatazamane na eneo walilopo Askari polisi wa Usalama barabarani au wa vizuizi, makomandoo wote watoke mikoani wasitoke hapo PWANI, msifanye kosa mkawaua wauaji ikiwa mtafanikiwa, wapigeni miguu yao yote halafu muwakamate na kuwahoji haraka haraka baada ya kutoa taarifa zote muhimu basi muwaue kimya kimya.

Mbinu nyingine, hii inabidi ifanywe na mkuu wa mkoa au wilaya kwenye eneo lake, itisha mkutano wa wananchi wote, gaweni karatasi na kalamu na kila mtu aandike jina la mtu anayedhani ni muhusika, yule atakayetajwa mara nyingi basi ni halali yenu, mbinu hii huondoa visasi na uhasama maana watu wanakuwa wengi kwenye aneo moja, hivyo ni ngumu kubaini aliyetaja.
Hyo ya pili ndio nzuri kushinda zote
 
du imebidi nicheke kama BREGARDIA wangu una mawazo haya kuhusu kibiti,pale believe on me hapahitajiki nguvu,vitisho bali ni utaalamu wa kitechnolijia tu.ingiza watu wa forensic inverstigators,clinical na wataalam wa kutujengea profile za watuhumiwa,kusanya evidence na hizo evidence will lead us kwa watuhumiwa.please my Breg.mambo ya nguvu sana tuachane nayo hii ni karne ya tech.
Salute kwako mkuu
 
Back
Top Bottom