....Eti mtoa mada ni mtu mwenye hali ngumu kimaisha,sijui bando amekopa bla bla blaa...kwa Nini unajidhalilisha hasa jukwaani wakati hata mtoa mada humjui? Why kugombana na Avator badala ya kujadili content ya Hilo Avator?Pole lakini kumbuka wanachokuonesha ni self defence ambayo application yake inaweza kuwa popote.ukitaka show za mizinga,vifaru na ndege sio sehemu yake.mtoa maada ni mtu mwenye hali ngumu sana kimaisha inaonesha una msongo wa mawazo.combination,carter na vyote ingia you tube angalia korea commandos tofauti haipo.umekopa kabando mbuzi unaanza kubeza watu.hao commando rank yao ni kubwa na wameperform mission tofauti nje ya nchi.kama hujui commando hao wana exposure balaa.canada,ufaransa,usa,china,urusi ni sawa sawa na kwenda tandika jinsi wanavyobadilishana ndege.na wanajifunza na special force mbalimbali.acha dharau subiri umalize mkopo wa vikoba
Unataka mambo kama ya korea kusini?, we uko serious? Bajeti yako kwa jeshi ni kiasi gani?umewaza hilo?.Taifa kwa ujumla ni kiasi gani?
Thubutu.... Hawa police wetu km wa Ifakara au wengne?!Hao Alshab na boko Haram ni level ya Polisi Tanzania si wa level ya JWTZ.
Kama kwa mpinzani sawa, lakini kwa jambazi itakua ngumu sana mazoezi yao hayana tofauti na comedy...ATAKE VUNJA MUUNGANO ATAVUJIKA YEYE: JPMMpini wa jembe ukimchapa nao mgogoni lazima alale mbele
Mashaka yangu ni kwamba wakiendelea hivi wataharibu hata huo uwezo mdogo wa kufikiri wa wanajeshi Wetu. Maana badala ya kutumia vichwa kufikiri wanavitumia kukunjia nondo na kuvunjia matofali. Kwahiyo hata ubunifu mdogo tu wa kutumia manati badala ya tofali utashindikana.Hilo ni kosa la nchi nzima na wananchi wote ukiwemo wewe na mimi,,,,,, ndugu nchi haina technology yeyote wala hakuna jitihada za kuwezesha uvumbuzi kufanyika ndani ya nchi,,,,,, huko jeshini unadhani kuna viwanda vya kisasa? Kwanza jeshi linalalamikiwa et lina bajeti kubwa mno,,,, sasa hiyo bajeti si kitu kununua vifaa vya technology ya kisasa,,,,, Korea yale mavifaa vingi wanatengeneza wao,,,,,,, umaskini wa wananchi mtaani ndio hivyo hivyo na taasisi nyingi za serikali zilivyo,,,,,,,, wanaonesha kadri ya uwezo wa nchi..... Waoneni huruma hata wao wanachoka kuonyesha mambo yale yale kila wakati.
Mashaka yangu ni kwamba wakiendelea hivi wataharibu hata huo uwezo mdogo wa kufikiri wa wanajeshi Wetu. Maana badala ya kutumia vichwa kufikiri wanavitumia kukunjia nondo na kuvunjia matofali. Kwahiyo hata ubunifu mdogo tu wa kutumia manati badala ya tofali utashindikana.
Kwahiyo huwa tunaletewa wasanii wa kijeshi kutuburudisha na sio makomando kama tunavyotangaziwa mubashara pale uwanjani?Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Wale walikuwa wanaonyesha onyesho la kufurahisha waliokwenda uwanjani na ukakamavu wao, ile ni sanaa kama sanaa zingine. Hawakuwa pale wakionesha mbinu za kupigana na adui.
Hivi majeshi yetu yanapofanya gwaride ina maana wanatuonesha mbinu yao ya kupigana na adui?
Wacheni kuwa mapunguani.
Noma sana...
Noma sana...
Hata vile vipande vya mbao nina mashaka navyo. Kana vipi niwapelekee mm kipande cha mpingo nione kama watakivunja.