Jeshi La Wananchi waendelea na Operation ya kupiga Raia Mtwara

NAMKWAKWA

Member
May 16, 2013
43
38
Kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kubwa na kukiuka haki za binaadamu,jeshi la wananchi linaendelea na utekelezaji wa order waliyopewa na mkuu wa nchi kupiga watu,leo asubuhi JWTZ wamevamia eneo la Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani na kuendelea na Operation ya kupiga Raia.

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 Kwa lengo la kulinda mipaka ya nchi .
 
Si majuzi mliweka post mkasema kuwa askari wa jeshi la wananchi wamepokelewa kwa shangwe na wana mtwara na wamekuwa kama marafiki na walinzi wao kuliko polisi?? sasa imekuwaje tena?Naanza kuacha kuwaamini wa huko kwenye gesi ya mgogoro!!
 
Si mlisema Mtwara mnataka kujitenga muunde Jamuhuri yenu kisa mna gesi?sasa haoo wamekuja..na nyie toeni jeshi lenu mliloiandaa kulinda "Jamuhuri Mpya"...kawaulizenu wenzenu Newala
 
hahahaha,kwan hawawez kugeukwa
 
NAMKWAKWA? mmmmh! haya bwana. napita tu.

Kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kubwa na kukiuka haki za binaadamu,jeshi la wananchi linaendelea na utekelezaji wa order waliyopewa na mkuu wa nchi kupiga watu,leo asubuhi JWTZ wamevamia eneo la Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani na kuendelea na Operation ya kupiga Raia.

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 Kwa lengo la kulinda mipaka ya nchi .
 
Kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kubwa na kukiuka haki za binaadamu,jeshi la wananchi linaendelea na utekelezaji wa order waliyopewa na mkuu wa nchi kupiga watu,leo asubuhi JWTZ wamevamia eneo la Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani na kuendelea na Operation ya kupiga Raia.

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 Kwa lengo la kulinda mipaka ya nchi .
mkileta ujinga msidundwe?na bado mtagongwa sana,mbona mesitisha kufanya fujo
 
endeleeni kuandamana na kufanya fujo muone kichapo kitakavyo chukua nafasi yake,eti wanajeshi wanapiga watu sasa we ulitaka wapige nn kama siyo watu wanaokataa kutii utaratibu.
 
mkileta ujinga msidundwe?na bado mtagongwa sana,mbona mesitisha kufanya fujo
Kama ujinga wetu ni kuomba tupate maendeleo pia kwa gesi yetu ndiyo manatufanya hivi... Nanyi mtabondwa kwa uchafu mwingi mlio fanya wa MEREMEta, kagoda, richmond, Mwangiso na mengi tu...tupigeni sana sana sana kwa sasa lakini nanyi kipigo chenu chaja
 
Mnausafi gani wa kufurahia kubonda kwetu kwa tamaa zenu za gesi ya mtwara, wakati unakuja mapema sana, mtalia nakusaga meno
 
aliyekuambia gesi ikija dar nyie mtakosa aki zenu ni nani???gesi kuja dar itakuja ata kwa m wa aina yeyote ule
 
Kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kubwa na kukiuka haki za binaadamu,jeshi la wananchi linaendelea na utekelezaji wa order waliyopewa na mkuu wa nchi kupiga watu,leo asubuhi JWTZ wamevamia eneo la Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani na kuendelea na Operation ya kupiga Raia.

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 Kwa lengo la kulinda mipaka ya nchi .[/QUOTE
Sidhani kama jeshi linaonea wananchi,bali sikuizi watu wengi wanalazimisha mambo...UKITII SHERIA HUTAHANGAISHWA NA MTU,,
 
Mnausafi gani wa kufurahia kubonda kwetu kwa tamaa zenu za gesi ya mtwara, wakati unakuja mapema sana, mtalia nakusaga meno
haha ha ha dua la kuku, kamwe alimpati mwewe gesi dar ni lazima ije tena kwa speed tunayotaka sis wana
Dar ,dunia nzima utaratibu unaotumika wa kusafirisha nishat ya gesi ni mabomba
Hivyo wana mtwara hili amna uwezo nalo
Kabisa vinginevyo mtapoteza mali zenu na ndugu zenu kwa ajili ya vurugu ambazo kamwe amtashinda
@MTASHINDANA LAKINI HAMTASHINDA@
 
Kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kubwa na kukiuka haki za binaadamu,jeshi la wananchi linaendelea na utekelezaji wa order waliyopewa na mkuu wa nchi kupiga watu,leo asubuhi JWTZ wamevamia eneo la Magomeni Manispaa ya Mtwara Mikindani na kuendelea na Operation ya kupiga Raia.

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 Kwa lengo la kulinda mipaka ya nchi .[/QUOTE
Sidhani kama jeshi linaonea wananchi,bali sikuizi watu wengi wanalazimisha mambo...UKITII SHERIA HUTAHANGAISHWA NA MTU,,
[/QUOTEyour right broo.]
 
haha ha ha dua la kuku, kamwe alimpati mwewe gesi dar ni lazima ije tena kwa speed tunayotaka sis wana
Dar ,dunia nzima utaratibu unaotumika wa kusafirisha nishat ya gesi ni mabomba
Hivyo wana mtwara hili amna uwezo nalo
Kabisa vinginevyo mtapoteza mali zenu na ndugu zenu kwa ajili ya vurugu ambazo kamwe amtashinda
@MTASHINDANA LAKINI HAMTASHINDA@
Safi sana, hamtokuwa madketa wa kwanza kaitka dunia hii. kicheko chenu ni cha kasi kama mabomba yatakavo kuja na kitakatika kwa kasi mpaka mtashangaa, jipe muda tu na utakumbuka kama ni duwa la kuku au nini. na naomba usije kubadilishe jina kujifanya ulikuwa mmoja wetu. Leo sisi ni wanyonge sana lakini tunapajua tunapokwenda
 
wanachodai wanantwara hakina budi kuungwa mkono na watanzania wote,kwani kuna maeneo mengi kuna rasilimali lakini wenyeji hawanufaiki mwaka huu mgodi wa Tulawaka uliopo Runzewe unafungwa nenda kaangalie maisha ya wanajamii yalivyo mabovu,Mgodi wa Golden Pride Nzega unafungwa mwaka huu pia nenda kaangalie alichofanya mwekezaji kwa wanajamii hamna kitu.Ipo haja kuangalia jamii jirani na watanzania kiujumla tunanufaika vipi na resource tuache ushabiki usio na maana.
 
mlisema askari wanachapwa na watu wasiojulikana na gesi imegeuka maji! kila siku kulialia humu imekuaje tena!
 
Nimeamini wanaCCM wameajiri watu kuja kuwajibia Thread humu ndani
haiwezekani nchi ambayo Twiga wanasafirishwa kwenda nje, maeneo
mengine yanabaki na mashimo tu huku madini na udongo vikiwa
vimesafirishwa kwenda ulaya bado kuwe na watu wanaopenda mipango
mibovu ya kuhamisha Rasilimali za nchi ni mambo mawili tu kama sio wana
CCM tena makada waandamizi basi watakuwa ni wendawazimu.
 
Si mlisema Mtwara mnataka kujitenga muunde Jamuhuri yenu kisa mna gesi?sasa haoo wamekuja..na nyie toeni jeshi lenu mliloiandaa kulinda "Jamuhuri Mpya"...kawaulizenu wenzenu Newala
Lini watu wametangaza kujitenga? Na huko Newala ni kosa gani limewafanya wapigwe? Mkuu
kuwa na utu kidogo Newala wamepigwa bila kosa.
 
Back
Top Bottom