Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Hili neno Tamko ndio limekuw shida katk uletaji Taarifa.

Pia tunasubr na Tamko la IGP

SI Afya kwa majesh kutoa Tamko kungew na function yoyote ndio watoe Tamko lao.



Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Wakae tuu kambini,kazi yao ni moja tuu kulinda mipaka ya nchi, tangu wanirushe kichurachura na kunivua shati bila sababu siamini wajinga hao bora tupambane na wezi wa kura CCM kuliko hayo yenye SMG na vifaru
Hao ndiyo wanajikabidhi madaraka sasa sijui utachagua lipi hapo
 
Hujui nafasi ya CDF wewe. Kingai ndio kenge gani kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? Kutajwatajwa pale mahakamani si hata mgambo anaweza. Uliwahi ona wapi CDF anaitwa mahakamani
Afadhali umemuelewesha vya kutosha huyo chawa
 
Jeshi limechoka kukamata mbuzi wanaokula nyasi za kwenye kambi.

Wenye mbuzi tunawaombeni mkazichukue.
Sasa hivi Kuna tatizo la malisho,ukame. Jeshi lingewaacha tu hao mbuzi wachunge mpaka masika yachanganye!
 
View attachment 2027376Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Kama jeshi la polisi liliiandikia Chadema kuwa kuna ugaidi na jeshi la wananchi linakuja na tamko maalum ni lazima watu watakuwa na wasiwasi kuwa huenda kuna uhusiano.
 
Wakae tuu kambini,kazi yao ni moja tuu kulinda mipaka ya nchi, tangu wanirushe kichurachura na kunivua shati bila sababu siamini wajinga hao bora tupambane na wezi wa kura CCM kuliko hayo yenye SMG na vifaru
Unataka kuvuliwa chupi na vikosi vua(sitaki kuvitaja),
 
Watu huko mitandaoni wanatamani kuskia kitu kitakacho wafurahisha mioyo yao juu ya chuki walizonazo dhidi ya serikali na Mama kwa ujumla..

Naomba niwathibitishie tu kuwa huo upumbavu wanaofikiria kuhusu Tamko hili LA jeshi letu Imara kamwe hautokaa utokee ktk serikali hii Sikivu na yenye hofu ya Mungu.

Mama ni Mpango na Chaguo LA Mungu bado yupoyupo sanaaa..

Mbona kama wewe ndio una hofu hivi? relax bro
 
Back
Top Bottom