Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,015
2,000
Watu huko mitandaoni wanatamani kuskia kitu kitakacho wafurahisha mioyo yao juu ya chuki walizonazo dhidi ya serikali na Mama kwa ujumla..

Naomba niwathibitishie tu kuwa huo upumbavu wanaofikiria kuhusu Tamko hili LA jeshi letu Imara kamwe hautokaa utokee ktk serikali hii Sikivu na yenye hofu ya Mungu.

Mama ni Mpango na Chaguo LA Mungu bado yupoyupo sanaaa..

Mbona kama wewe ndio una hofu hivi? relax bro
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,636
2,000
Ccm wanatumia vyombo vyote vya ulinzi effectively kutawala wananchi . Sijui IGP au CDF wanajua wenyewe walivyopata hizo nafasi na wapo very submissive kwa ccm. Kesho wanakuja kutoa Lipoti yao ya namna vip protection workers walivyokuwa magaidi na kuwapiga na chuma kizito ili tu wafungwe.
Under current circumstances anything is possible
 
Mar 6, 2021
73
125
Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.
Soma uelewe vizuri Bro, Makao Makuu ya Jeshi kwa sasa yako Dodoma, ila taarifa imesema hiyo press conference itafanyika yalipokuwa Makao Makuu ya Jeshi zamani pale Upanga.
 

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
617
1,000
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa kesho Novemba 30, 2021 litafanya mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko maalum.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa mikutano ilipokuwa makao makuu ya jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam saa nne asubuhi.

Vyombo vyote vya habari vinaalikwa.
View attachment 2027410
Terrorism alert. yan kambi za jw zipo blacklist ya magaid wa mozambique(Nawaza tu). Au ni ile barua ya Jpm

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 

Vyura99tu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
355
500
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa kesho Novemba 30, 2021 litafanya mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko maalum.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa mikutano ilipokuwa makao makuu ya jeshi, Upanga jijini Dar es Salaam saa nne asubuhi.

Vyombo vyote vya habari vinaalikwa.
View attachment 2027686
Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi tumbo moto! Si unajua hapo Uganda na Congo iko maneno ya kuingiliana japo wamekanusha.
Sasa na sisi lazima tujihami ili kuonekana kuwa tunajali. Usishangae wakasema kuna Dalila ya Ugaidi kusafisha kinachoendelea hapo mahakama.
Vinginevyo ni kuupiga mwingi.
Wako walioambiwa "Nonsense" duuuh.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom