uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 776
- 2,404
Saizi baada ya upinzani Nchini Malawi kushinda ushindi wa kishindo wa urais na ubunge bila shaka upinzani wanawashukuru sana wanajeshi wa Malawi na Majaji Baada ya kukukataa mamilion ya dollar ili kuwapa ushindi chama tawala hata mm kwa hilo ninawapa pongezi.
Saizi Tanzania matatizo mengi sana yametokea demokrasia imenajisiwa. watu wanapotea. watu wanauwawa wengine wanaokotwa baharini kama samaki. Na serikali wanasema ni watu wasio julikana.
Hadi Saizi Tanzania haizungumzwi tena kama ni nchi ya amani.
Kama wenzetu wanajeshi wananguvu wanaakili wanasilaha yani wanakila kitu na hawajawahi kuchukua hatua zozote. inamaana nao ni sehemu ya kulaumiwa.