Jeshi la Tanzania lawataka wananchi kuondoka katika misitu ya mpaka wa Msumbiji

Lete mahubiri ya Lumumva , ulishashiba mandondo kwa mama ntilie? Buku zako 7 kutoka Lumumba zimekutoa akili
Endelea kudhihaki mku.
Hii ndiyo Tanzania aliyoiunda Mwalimu, tukiamua hatushindwi kitu.
By the time you regret itakuwa too late for you.
 
Jeshi la Tanzania limewataka raia wanaoishi katika maeneo ya pori karibu na mpaka wa Msumbuji kuhama eneo hilo wakati wakijiandaa kupambana dhidi ya wanamgambo, kwa mujibu wa gazeti la kila siku nchini Tanzania,The Citizen.

Mkuu wa operesheni hiyo alisema jeshi litaanza kuwatafuta wahalifu katika pori la Ruvuma ,na baadae Mtwara na Lindi.

Mwezi Mei, Tanzania ilipeleka majeshi yake katika mikoa hiyo ya mpakani baada ya kuibuka kwa shambulio la lililotekelezwa na wapiganaji wa kiislamu kaskazini mwa Msumbiji.

Wapiganaji hao tayari wamevamia miji kadhaa na kuua mamia ya watu na maelfu kuhama makazi yao.

Chanzo: BBC News swahili


Ni ujinga kusubiri magaidi eti kwasababu tu wako upande mwingine wangetakiwa kushirikiana na msumbiji kuwamaliza hata kama ni kuvuka mipaka!!
 
Kenya(Al Shabaab) , Somalia, Syria, Lebanon, Iraq, Nigeria, Central Africa, Mali, Cameroon, Sudan ... huko kote Nyerere aliingia?
Maana huko kuna waasi kama wa Msumbiji wenye imani kali wale.
Chuki kwa Nyerere haitakusaidia bali inadumaza maendeleo yako na ya watu wako wa karibu.
👍👍
 
Jwtz iende ikawape dawa yao mi naamini hao ndio walikuwa wanaisumbua kibiti lkn baada ya kambi na kupelekewa jwtz wakachoropokea mpakan na msumbiji na shida ya hao jamaa ni kutumia kofia ya dini ...hata kule kenya Al shabaab iliingia kenya kwa kofia ya udini misikiti pale mjin MSA ilikuwa ina preach jihad seeikaali ikaja jua muda umekwenda serikal ya kenya ilipiga pale mashesh wawili ambao walikuwa vinara. Ss ktk hili kwakwel jwtz wakatoe tu dozi nzitoooooooo
 
Hahaha haya ya kweli?! Kwanini hao wanajeshi wasiende kuziambia hizo familia zinazoishi porini kuondoka?!
 
Back
Top Bottom