Jeshi la Tanzania lawataka wananchi kuondoka katika misitu ya mpaka wa Msumbiji

Kila Nyerere alipoingia kaleta balaa , Msumbiji mpaka leo ni shida
Kenya(Al Shabaab) , Somalia, Syria, Lebanon, Iraq, Nigeria, Central Africa, Mali, Cameroon, Sudan ... huko kote Nyerere aliingia?
Maana huko kuna waasi kama wa Msumbiji wenye imani kali wale.
Chuki kwa Nyerere haitakusaidia bali inadumaza maendeleo yako na ya watu wako wa karibu.
 
Tayari hawa Islamist wa Al Shabab wametwaa bandari ya Mocimboa da Praia. Wanajeshi wa Msumbiji wote wamekimbia kwa boti
Dah!..Kama wameweza kuteka maeneo nyeti kama bandari inamaanisha wanazidi kupata nguvu, ni vyema serikali ya Msumbiji iombe msaada kutoka jumuiya ya kimataifa (SADC) na nchi rafiki/jirani tusije kuibukiwa na "boko haram" mpya.
 
Dah!..Kama wameweza kuteka maeneo nyeti kama bandari inamaanisha wameanza kupata nguvu ni vyema iombe msaada kutoka jumuiya ya kimataifa (SADC) na nchi rafiki/jirani tusije kuibukiwa na "boko haram" mpya.

Wameteka silaha kali sana za kivita hapo. Kambi ya jeshi wameikalisha hivyo wamejiongezea nguvu sana.

Ila tujikumbeshe ni majuzi tu kuna nchi moja ya mbali huko ilisema kundi hili limekuwa na linaweza vuka hadi Tz. Ni wiki tu imepita na sasa tunasikia haya.

Sio ajabu hata hizo propaganda kuwa wameteka silaha nyingi za kivita ni geresha tu. Labda kwa sasa baada ya kuchukua bandari ndio mizigo inashushwa na kuwa supplied. Tuko katika wakati mgumu sana.
 
Ndo maana tunaionya ccm isisubutu kuleta upimbi kwenye uchaguzi huu ..hii yote ni maandalizi ya kuitoa ccm madarakani kupitia hivyo vikundi ..shauri yao
 
Jeshi la Tanzania limewataka raia wanaoishi katika maeneo ya pori karibu na mpaka wa Msumbuji kuhama eneo hilo wakati wakijiandaa kupambana dhidi ya wanamgambo, kwa mujibu wa gazeti la kila siku nchini Tanzania,The Citizen.

Mkuu wa operesheni hiyo alisema jeshi litaanza kuwatafuta wahalifu katika pori la Ruvuma ,na baadae Mtwara na Lindi.

Mwezi Mei, Tanzania ilipeleka majeshi yake katika mikoa hiyo ya mpakani baada ya kuibuka kwa shambulio la lililotekelezwa na wapiganaji wa kiislamu kaskazini mwa Msumbiji.

Wapiganaji hao tayari wamevamia miji kadhaa na kuua mamia ya watu na maelfu kuhama makazi yao.
459f3791-d0e2-49db-9cfd-613a2d9a1d7f.jpg
 
Hiyo equation yako huko imekwenda mbali sana. Sio rahisi hivyo mkuu. Japo kwa ninavyoijua Tz ngoma itakuwa pevu hadi anaetoa hiyo kibri atajitokeza tu direct au indirectly.
Amini nakuambia mkuu ..najua ni ngumu kuamini lkn ndo hvyo ..mashirika mengi ya uchimbaji wa gas wamefukuzwa huko mtwara na jiwe usifikiri walifurahia kuondoka na kumuacha mchina....iko cku utajua naongelea nn
 
Jeshi la Tanzania limewataka raia wanaoishi katika maeneo ya pori karibu na mpaka wa Msumbuji kuhama eneo hilo wakati wakijiandaa kupambana dhidi ya wanamgambo, kwa mujibu wa gazeti la kila siku nchini Tanzania,The Citizen.

Mkuu wa operesheni hiyo alisema jeshi litaanza kuwatafuta wahalifu katika pori la Ruvuma ,na baadae Mtwara na Lindi.

Mwezi Mei, Tanzania ilipeleka majeshi yake katika mikoa hiyo ya mpakani baada ya kuibuka kwa shambulio la lililotekelezwa na wapiganaji wa kiislamu kaskazini mwa Msumbiji.

Wapiganaji hao tayari wamevamia miji kadhaa na kuua mamia ya watu na maelfu kuhama makazi yao.View attachment 1535527
Kwa hili siwezi kupinga, maana halina chembe ya siasa.

Wapigwe hao wahuni wanamgambo
 
Acha kuchanganya dini na interest za watu aiseee hakuna uislamu unaosema jihad ya namna hyo

Vikundi vyote vya ugaid source ni nch za magharib kwa interest zao refer osama na marekani

Usiongee kitu usichokijua
Kwanini wote wawe waislamu?
 
Back
Top Bottom