Jeshi la Tanzania lawataka wananchi kuondoka katika misitu ya mpaka wa Msumbiji

kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
8,822
2,000
Jeshi la Tanzania limewataka raia wanaoishi katika maeneo ya pori karibu na mpaka wa Msumbuji kuhama eneo hilo wakati wakijiandaa kupambana dhidi ya wanamgambo, kwa mujibu wa gazeti la kila siku nchini Tanzania,The Citizen.

Mkuu wa operesheni hiyo alisema jeshi litaanza kuwatafuta wahalifu katika pori la Ruvuma ,na baadae Mtwara na Lindi.

Mwezi Mei, Tanzania ilipeleka majeshi yake katika mikoa hiyo ya mpakani baada ya kuibuka kwa shambulio la lililotekelezwa na wapiganaji wa kiislamu kaskazini mwa Msumbiji.

Wapiganaji hao tayari wamevamia miji kadhaa na kuua mamia ya watu na maelfu kuhama makazi yao.

Chanzo: BBC News swahili
 
Lyaka Mlima Jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2020
291
500

Source: BBC News swahili
Propaganda
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
6,145

Focus on Africa: Mozambique rebels 'capture key port'
 
black hawk87

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
516
1,000
AL SHABAB NA VIKUNDI VINGINE VYA KIGAIDI VIMEUNDWA NA Matahira wa kiislam yalikuwa brain washed.SIJUI HUWA YANAMEZESHWA NINI VICHWANI MWAO?
Acha kuchanganya dini na interest za watu aiseee hakuna uislamu unaosema jihad ya namna hyo

Vikundi vyote vya ugaid source ni nch za magharib kwa interest zao refer osama na marekani

Usiongee kitu usichokijua
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
918
1,000
Masikini watanzania waliopo huko porini, hata taarifa hii haitawafikia watashtukia tu wanajeshi hao!

Alafu wale jamaa kule msumbiji ni noma, wameteka mji wa mocimboa leo. Una bandari na pia kulikua na majeshi ya wanamaji wa msumbiji.

Hawa jamaa tena kuna muda wanavaa hadi uniform za JWTZ na wana viongozi watanzania.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom