Jeshi la Polisi

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
1,034
1,022
Tofauti na alivyosema Jussa, inaelekea jeshi la polisi liko chini ya Muungano. Au kutakuwa na majeshi matatu ya polisi?
 
220. Taasisi za ulinzi na usalama wa Taifa ni-
(a) Jeshi la Wananchi wa Tanzania;
(b) Jeshi la Polisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na
(c) Idara ya Usalama wa Taifa.
 
Back
Top Bottom