Zanzibar 2020 Jeshi la Polisi Zanzibar laanza mazoezi ya utayari kukabiliana na maandamano na wavunjifu wa amani

police wasitishe watu,haki haitishwi,maalimu sio mjinga ,ccm wanakosa viongozi wenye maarifa wameweka maroboti
 
mwaka 2000 mwenzao alichinjwa kama kuku huko pemba, wasifikiri pemba ni Buguruni
 
Inasikitisha sana makamanda wa jeshi la polisi wanasema wazi kuna baadhi wanasiasa wameanza kutoa kauli...... huenda wanalenga kauli za Maalimu Seifu kusema kufuatia dhuluma kuenguliwa wagombea ACT Pemba na kwingineko.

NEC na ZEC watoe haki Watanzania tufanye maamuzi katika sanduku la kura. Polisi ,mabomu,risasi na mabavu vitabomoa zaidi amani na umoja wa taifa letu.
Kwanini hayo mazoezi yao wasifanye kimyakimya,? hii Inaonyesha hawawezi kushindana na nguvu ya umma!
 
Jeshi la PolisI Zanzibar limefanya mazoezi ya kupambana na waandamanaji.

Hiyo inakuja siku chache baada ya Maalim Seif kuapa kuwa safari hii hakuna atakayekubali kuchakachuliwa kwenye matokeo ya kura.

Naona ngoma imeanza kulindima kila sehemu.

Tanzania bila CCM inawezekana.
ipo siku
ipo siku
siku tunaisubiri.
 
Tatizo nini kwani?
Mbona linazungumzika?
Wakate zec,act watatue hili tatizo kuepusha fujo na kuepusha usumbufu wa kwenda Icc
 
Inasikitisha sana makamanda wa jeshi la polisi wanasema wazi kuna baadhi wanasiasa wameanza kutoa kauli...... huenda wanalenga kauli za Maalimu Seifu kusema kufuatia dhuluma kuenguliwa wagombea ACT Pemba na kwingineko.

NEC na ZEC watoe haki Watanzania tufanye maamuzi katika sanduku la kura. Polisi ,mabomu,risasi na mabavu vitabomoa zaidi amani na umoja wa taifa letu.
Vitisho tu hivyo havifui dafu. Hiyo ndio mbinu ya mwisho nayo imessha feli.
 
Jiwe ana kiu sana na damu kumwagika , yeye na anaowatuma kina Siro wajiandae kwenda The Hague , the international community are watching everything .
Screenshot_20200903-161200.png
 
Ndomana kuna the hague, polisi kama wanadhani hawatashtakiwa nchini basi kimataifa itawezekana.
 
Jeshi la PolisI Zanzibar limefanya mazoezi ya kupambana na waandamanaji.

Hiyo inakuja siku chache baada ya Maalim Seif kuapa kuwa safari hii hakuna atakayekubali kuchakachuliwa kwenye matokeo ya kura.

Naona ngoma imeanza kulindima kila sehemu.

Tanzania bila CCM inawezekana.
Nchi yangu wapi inakwenda
 
Back
Top Bottom