Jeshi la Polisi, yupo wapi dereva aliyegonga gari lililobeba mwili wa Injinia wa TCRA?

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
268
163
Wandugu juzi kati palitokea ajali pale Bunju iliyohusisha basi lilikua linatokea tegeta kwenda kanda ya kaskazini ambapo lilipofoka Boko lilitanua na kusababisha ajali ya msafara wa msiba wa aliyekuwa injinia wa TCRA Nd CHACHA ambaye mwili wake ulikuwa unapelekwa uwanja ndege ili kumpeleka mazikoni.

Mpaka leo Polisi idara ya Usalama barabarani haijatupa mrejesho juu ya kukamatwa kwa dereva huyo na basi husika.

Ajali ile iliharibu vibaya gari iliyobeba mwili kiasi cha jeneza kufunuka. Dereva na aliyekaa mbele kuumia vibaya pampja na Landcruser nyeupe ya meneja wa Harmonize kuharibika
 
Uwe unaangalia taarifa ya habari. Jana walitoa mrejesho kuwa Dereva alitoroka akatelekeza bus. Wanamtafuta
 
Hiyo ni ajali kama ajali zingine dereva ataenda mahakaman na atapigwa faini elfu 90 na aendelee na shughuli zake kama kawaida au labda kama huwa kuna utaratibu wenu bianafsi ajali zingine kama zikitokea huwa traffic wanakufata wanakueleza dereva yuko wapi basi usijali labda wamekucheleweshea tu taarifa
 
Back
Top Bottom