Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mnatia aibu!!!Acheni kulialia kama watotot!
Ninyi si mnasema makamanda?
Kwanini unataka kufananisha chama cha upinzani na chama tawala? Jilinganisheni na TADEA.Hapo Uv ccm wanaruhusiwa ila pamoja na hujuma zote bado CHADEMA kitadumu.
Nini cha zaid walichonacho ccm zaidi ya hujuma.Kwanini unataka kufananisha chama cha upinzani na chama tawala? Jilinganisheni na TADEA.
Childish!Acheni kulialia kama watotot!
Ninyi si mnasema makamanda?
"Ninataka upinzani uendelee kuwepo"
Kauli hii ilitoka moyoni kweli?
Wewe unataka kuniharibia tu swaumu yangu, ila ningekuwa baba yako ningekupima DNA maana hufanani na mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoaKwanini unataka kufananisha chama cha upinzani na chama tawala? Jilinganisheni na TADEA.