Jeshi la polisi Tanzania

Oct 25, 2013
63
262
  • Akilalamika Shibuda kutishiwa, Polisi wanaondoka saa ile ile kutafuta wahalifu na kuwahoji.
  • Akilalamika Zitto na habari ikaandikwa kwenye gazeti, wanafungua jalada na kuwaita watuhumiwa mara moja na kuwahoji
  • Kesi za vitisho siku hizi hazifunguliwi kwenye vituo vya polisi, kwa OCD AU RCO NA RPC, unaenda moja kwa moja kwa DCI, NA IGP ofisini kwao kusema umetishiwa kwa SMS, au kwa email.
  • Akilalamika Mwigulu kuwa amekashifiwa kwenye mkutano na watu wa CDM= inatumwa Timu ya Makamishina wa Makao makuu kwenda mkoani kufuatilia suala hilo harak.
  • LAKINI MBUNGE WA CCM, WAZIRI WA ZAMANI anayetuhumiwa kubaka, na kutishia kuua. Licha ya Bunge kuona hili ni suala la jinai na kufunguliwa RB, Jamaa anatesa mtaani, anapanda ndege anarudi anakula bata nchini.
  • polisi wana magwanda mazuri kweli, ya kijani yana alama za jembe na nyundo kichwani kwao na mioyoni mwao
 
unanitia hasira kweli na hawa polisi naweza kuchukua maamuzi magumu.
 
unanitia hasira kweli na hawa polisi naweza kuchukua maamuzi magumu.

Usichukue maamuzi magumu ukajinyonga tunakuhitaji kwa kutetea haki. Polisi wetu ni kweli wamejidhalilisha, wanaotoa taarifa tena ya Zitto waliandika wamesoma katika gazeti, hili la Kapuya kuna RB ya kituo cha Polisi Oysterbay lakini hawakuchukua hata hatua za kumpata, wanakula bata. Kapuya Oyeeeeeee, ndio maana ulisema kubaka utabaka, dawa wanao watauza na hakuna wa kukufanya lolote, tumeanza kuamini watanzania.
 
Rais si ameongea tuu na mdomo? Keani hamjui? Mangapi ameshasema??kwani yametekelezwa?kwa mfano. Madawa ya kulevya epa richmond na nk kuna yoyote ameshakamtwa? Jiulizeni.. hakuna kitu. Hii nnchi ni yao nyie mna nchi? Kuleni ugali wenu mfunge mdomo kimya!!!!!!!!!
 
Ccm ccm inskubalika mtake mstake.. nyie kina nani? Wao ndio wenye nchii hii wataua, watabaka, watauza madawa, kapuya hawezi kamatwa!
 
Back
Top Bottom