New Force 2015
Member
- Oct 25, 2013
- 63
- 262
- Akilalamika Shibuda kutishiwa, Polisi wanaondoka saa ile ile kutafuta wahalifu na kuwahoji.
- Akilalamika Zitto na habari ikaandikwa kwenye gazeti, wanafungua jalada na kuwaita watuhumiwa mara moja na kuwahoji
- Kesi za vitisho siku hizi hazifunguliwi kwenye vituo vya polisi, kwa OCD AU RCO NA RPC, unaenda moja kwa moja kwa DCI, NA IGP ofisini kwao kusema umetishiwa kwa SMS, au kwa email.
- Akilalamika Mwigulu kuwa amekashifiwa kwenye mkutano na watu wa CDM= inatumwa Timu ya Makamishina wa Makao makuu kwenda mkoani kufuatilia suala hilo harak.
- LAKINI MBUNGE WA CCM, WAZIRI WA ZAMANI anayetuhumiwa kubaka, na kutishia kuua. Licha ya Bunge kuona hili ni suala la jinai na kufunguliwa RB, Jamaa anatesa mtaani, anapanda ndege anarudi anakula bata nchini.
- polisi wana magwanda mazuri kweli, ya kijani yana alama za jembe na nyundo kichwani kwao na mioyoni mwao