Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

Police ni kundi fulani ambalo shule walipata zero hivyo akili zao zipo kwenye matumbo yao kufikili critically ni ngumu mno kutokana na uwezo mdogo
 
Si rahisi kusema chakula kinanuka wakati uko mezani, ukitolewa mezani utakula wapi. Mkiwa mezani ni rahisi wote mseme chakula kinanukia na mnampigia makofi mpishi.
Kwanza "Table manner" hairuhusu kuongea wakati tunakula. Muda mwingi wanaokula hukaa kimya labda pale inapobidi sana ndipo huongea. Huwezi kuongea na chakula mdomoni.
 
Back
Top Bottom