Mzee wa Ndogo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 204
- 79
Ama kweli TZ ni hovyo kabisa...leo asubuhi katika kile kipindi cha power breakfast nimesikia kuwa kuna recruits wapya wa jeshi la polisi ambao walipelekwa CCP-Moshi kama waajiriwa wapya kumbe ni feki!!!cha kushangaza iweje hawa recruits wasafirishwe,waingie hadi chuoni na waanze na mazoezi ilihali Jeshi La Polisi halina Taarifa?kama mmeshindwa chuoni kwenu je mtaweza Tanzania nzima?ama kweli hii nchi imekwenda mrama...