Jeshi la Polisi Tanzania ni Hopeless....

Mzee wa Ndogo

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
204
79
Ama kweli TZ ni hovyo kabisa...leo asubuhi katika kile kipindi cha power breakfast nimesikia kuwa kuna recruits wapya wa jeshi la polisi ambao walipelekwa CCP-Moshi kama waajiriwa wapya kumbe ni feki!!!cha kushangaza iweje hawa recruits wasafirishwe,waingie hadi chuoni na waanze na mazoezi ilihali Jeshi La Polisi halina Taarifa?kama mmeshindwa chuoni kwenu je mtaweza Tanzania nzima?ama kweli hii nchi imekwenda mrama...
 
ama kweli tz ni hovyo kabisa...leo asubuhi katika kile kipindi cha power breakfast nimesikia kuwa kuna recruits wapya wa jeshi la polisi ambao walipelekwa ccp-moshi kama waajiriwa wapya kumbe ni feki!!!cha kushangaza iweje hawa recruits wasafirishwe,waingie hadi chuoni na waanze na mazoezi ilihali jeshi la polisi halina taarifa?kama mmeshindwa chuoni kwenu je mtaweza tanzania nzima?ama kweli hii nchi imekwenda mrama...


power breakfast ndo nini hiyo??

Chipsi kuku au chipsi mayai?

No one is interested..
 
power breakfast ndo nini hiyo??

Chipsi kuku au chipsi mayai?

No one is interested..

Mkuu hata kama una beef na clouds bt kuna habari ambazo ni very sensitive na ni kweli zimetokea...personal vendetta should drive logical thinking...
 
Ilikuwaje hao recruits wakapanda gar za polisi?.......
polisi siku hizi hawatumii magari yao wanakodisha...kulingana na taarifa ya awali magari hayo(jina limehifadhiwa)yanakodishwa mara kwa mara na jeshi la polisi..
 
Ama kweli TZ ni hovyo
kabisa...leo asubuhi katika kile kipindi cha power breakfast nimesikia
kuwa kuna recruits wapya wa jeshi la polisi ambao walipelekwa CCP-Moshi
kama waajiriwa wapya kumbe ni feki!!!cha kushangaza iweje hawa recruits
wasafirishwe,waingie hadi chuoni na waanze na mazoezi ilihali Jeshi La
Polisi halina Taarifa?kama mmeshindwa chuoni kwenu je mtaweza Tanzania
nzima?ama kweli hii nchi imekwenda mrama...

polisi inaongozwa na watu, kama wale waliorudishwa wasingegundulika ndo tungesema hopelesss si wamegundulika safi polisi wapo mafisadi zaidi ya hii, hawasemwi
 
Mi nadhani polisi kwa hili walipaswa kupongezwa, kwamba wamegundua upuuzi na hatua zimechukuliwa, watu wamerudi walikotoka! Kwa maana nyingine kumbe huwezi kuingiaingia hovyo kwenye vyuo vya Polisi. Hata hivyo bado maswali ni mengi kuliko majibu........
 
Mi nadhani polisi kwa hili walipaswa kupongezwa, kwamba wamegundua upuuzi na hatua zimechukuliwa, watu wamerudi walikotoka! Kwa maana nyingine kumbe huwezi kuingiaingia hovyo kwenye vyuo vya Polisi. Hata hivyo bado maswali ni mengi kuliko majibu........

Hapo anaelaumu atakua amekumbwa kwa njia moja au nyingine na hiyo zahama ya kurudishwa.
 
polisi inaongozwa na watu, kama wale waliorudishwa wasingegundulika ndo tungesema hopelesss si wamegundulika safi polisi wapo mafisadi zaidi ya hii, hawasemwi

na kawaida mkuu tunatambua kuwa haya majeshi yanaendeshwa by ORDERS so lazma ufate kitu unachoambiwa na mkubwa wako katika rank, hata kama mkuu wa chuo anajua idadi ya recruits wanaohitajika hata walivyozidi hao feki azicngeweza kuhoji kutokana na chains of command,
 
nasikia watu wanasema kuna ofisa mmoja wa geshi hilo alipeleka lori limejaa ndugu zake sasa sijui anampango wa kuanzisha rebel group?
 
Back
Top Bottom