jeshi la mkoloni hilo
Hivi maudhui ya jeshi la polisi la mkoloni ambalo mkuu wao ni chief constable bado maudhui ndiyo hayo hayo hata baada ya Uhuru? Wakati leo tuna IGP! Au bado mkoloni ana mkono wakejeshi la mkoloni hilo
yamefanyika maboresho kadhaa lakini sheria ni ileile ya mkoloni na utamaduni wa jeshi ni uleule wa mkoloni, kipaumbele sio kulinda raia na mali zake bali kulinda serikali. hii kazi ya kulinda serikali ndio ilikua kazi kuu ya jeshi la polisi la mkoloniHivi maudhui ya jeshi la polisi la mkoloni ambalo mkuu wao ni chief constable bado maudhui ndiyo hayo hayo hata baada ya Uhuru? Wakati leo tuna IGP! Au bado mkoloni ana mkono wake
Hongera kwa JWTZ.
safari bado ndeeefu kwa mantiki hiyo! inabidi wavae kaptula sasa !!yamefanyika maboresho kadhaa lakini sheria ni ileile ya mkoloni na utamaduni wa jeshi ni uleule wa mkoloni, kipaumbele sio kulinda raia na mali zake bali kulinda serikali. hii kazi ya kulinda serikali ndio ilikua kazi kuu ya jeshi la polisi la mkoloni
Hatutaki kujua tuko bize na viwonder!JESHI LA POLISI TANZANIA LAFIKISHA MIAKA 100 TANGU KUANZISHWA KWAKE HAPA NCHINI 1919.
View attachment 1190202
Uko sahihi,wawe pekupeku na kufunga Pats miguuni na kofia za mchongoko kama masingasinga.safari bado ndeeefu kwa mantiki hiyo! inabidi wavae kaptula sasa !!
Hongera sana jeshi la polisi Tanzania kwa kutimiza jubilei ya miaka mia moja,hakika mpo vizuri.JESHI LA POLISI TANZANIA LAFIKISHA MIAKA 100 TANGU KUANZISHWA KWAKE HAPA NCHINI 1919.
View attachment 1190202