Jeshi la Polisi nchini lawataka wananchi kuwa makini na kikundi cha matapeli wa ajira ya Polisi

KATI 2

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
214
20
IMG_3434.JPG
 
Ni kweli kuna hiyo habari ya vigezo vya kujiunga na jeshi la polisi ilikuwa ikitumwa kwenye magroup ya whatsapp, na hali ilivo kwa sasa ajira hakuna, life linazidi kukaza kamba ni rahisi sana mtu kudanganyika na hao wahuni wakala mtaji na mwisho wa siku akakosa vyote

Jeshi la polisi limefanya vizuri kutoa taarifa mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi za polisi kwasasa kutoka ni ngumu maana KIBITI kwasasa hali ni shwari,mwenzenu mie nilikuwa na matumaini kipindi kile KIBITI BOYS wanatembeza CHUMA ndio zitatoka
 
Back
Top Bottom