Jeshi la Polisi nchini latangaza ajira mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU

Baba Bless

New Member
Mar 27, 2018
2
2
Jeshi la polisi wametangaza vigezo na masharti ya kutuma maombi ya nafasi za kazi baadhi ya masharti hayo ni kama ifuatavyo.

1.elimu kidato cha nne,sita,certficate,diploma na degree
2.usiwe na tattoo
3.mtanzania umri kuanzia miaka 18
4.uwe na mafunzo kutoka jkt/jku
5.uwe hujaoa/kuolewa

=====

Jeshi la Polisi nchini latangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU.
Polis.jpeg
Polisi.jpeg
 
Jeshi la polisi wametangaza vifezo na masharti ya kutuma maombi ya nafasi za kazi baadhi ya masharti hayo ni kama ifuatavyo

1.elimu kidato cha nne,sita,certficate,diploma na degree
2.usiwe na tattoo
3.mtanzania umri kuanzia miaka 18
4.uwe na mafunzo kutoka jkt/jku
5.uwe hujaoa/kuolewa

=====

Jeshi la Polisi nchini latangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU.
View attachment 746786 View attachment 746787

kwa hiyo wanaotakiwa ni wale tu walio kambini na sio wa mtaani hata kama akiwa na sifa kama vile hicho cheti cha JKT ama mimi sijaelewa vizuri,msaada kwa aliyeelewa vizuri
 
kwa hiyo wanaotakiwa ni wale tu walio kambini na sio wa mtaani hata kama akiwa na sifa kama vile hicho cheti cha JKT ama mimi sijaelewa vizuri,msaada kwa aliyeelewa vizuri
kama walivyo andika, ni kwa wale waliopo makambini.

hahahhaha
 
Eti wametangaza ajira hapo waseme hivii wale vibarua wa kujenga ukuta wameajiriwa polisi na sio kusema eti wametangaza ajira Tanzania...
Tena wangetakiwa wawatangazie uko uko makambini na sio public...
Hahahaaaaa,,,watu mnamaneno mabaya sana eti vibarua hahahaaaaa cheap labour lakini wale ndio JKT kujitolea na hizo ndio kazi zao
 
Hahahaaaaa,,,watu mnamaneno mabaya sana eti vibarua hahahaaaaa cheap labour lakini wale ndio JKT kujitolea na hizo ndio kazi zao
Mkuu sio cheap labour maana hawajalipwa anythin cheap....
hao ni forced labour mkuu!
Sasa polisi wasiseme eti wametangaza ajira waseme wale forced labour wa kujenga ukuta wamepewa nafasi za kazi....
Tena wana ujanja ujanja ndo mana wamesema wawe na elimu sijui wakati asilimia kubwa pale walitaga darasa la saba....
Kati ya vibarua wote 2,000 unaweza kukuta 1961 hawana vigezo vya elimu...
Iyo ni janja janja tu haajiriwi mtu apo
 
Looooh hahahahaaaaa!!!!wewe jamaa wale ni watoto wa masikini kama sisi ila wakipata hizo kazi amri kutoka juu ndiyo inawaponza
 
Looooh hahahahaaaaa!!!!wewe jamaa wale ni watoto wa masikini kama sisi ila wakipata hizo kazi amri kutoka juu ndiyo inawaponza
Wanajisahaugi sana wakipata wadhifa ama mamlaka...wanajiona kama wataishi milele wakati wakiwa vibarua wanalia lia wapewe kazi wakipata kazi wanaleta zarau kwa washikadau
 
Back
Top Bottom