Jeshi la polisi na wananchi tushirikiane kukomesha mauaji yanayoongezeka nchini sasa

sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
3,882
7,143
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia!
Mfano wa matukio kwa uchache!

I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa!

ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa wamechinjwa!

iii)Mauaji ya wanafamilia waka karibu kama dada mfanya kazi wa TRA Dar es salam,Dada pale moshi anashukiwa kuhusika na mauaji ya mama yake, pia arusha mama mfanya biashara wa madini aliuawa na anayesemekana kuwa mtoto wake!

iv) Pia mauaji mengi yanahusishwa na wivu na mapenzi ikiwa ni pamoja na kugombania mali! n.k!

Wito!
Naomba sana jeshi la polisi na raia wa kawaida tushilikiane Katika kuwafichuaua waharifu manali walipo!

Pia natoa wito kwa viongozi wa Dini hapa Tanzania kujitahidi sana kukemea na kuwafundisha watu juu ya kuwa na utu! badala ya kugeuza miskiti na makanisa kuwa majukwaa ya kisiasa ua kutafuta fedha!

Kingine ni serikali ione umuhimu wa kuajiri wana saikolojia Katika maeneo ya hispitali au vituo vya afya ili wananchi walio na changamoto ya kisaikolojiawaweze kusaidiwa kwa ushauri nasaha!

Serikali itoe mwelekeo na itende haki hususani Katika mifumo ya utoaji haki! Ili kuepusha wanachi kujichukua hatua mikononi kwa kuhisi kuwa akienda kwenye vyombo vya utoaji haki hatatendewa ipasavyo!

Tunaomba sana kila mtanzania huru kwenye uzalendo na nchi yetu awe msitari wa mbele kutetea maisha na uhai wa watanzania popote pale alipo!

Mwisho! Napenda kulipongeza jeshi la polisi kwa jinsi ambavyo limeendelea kushirikiana na wananchi Katika kusimamia usalama na mali za raia kwa uaminifu mkubwa! Asanteh!
 
Mkazo Kwa:

Serikali itoe mwelekeo na itende haki hususani Katika mifumo ya utoaji haki! Ili kuepusha wanachi kujichukua hatua mikononi kwa kuhisi kuwa akienda kwenye vyombo vya utoaji haki hatatendewa ipasavyo
 
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia!
Mfano wa matukio kwa uchache!

I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa!

ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa wamechinjwa!

iii)Mauaji ya wanafamilia waka karibu kama dada mfanya kazi wa TRA Dar es salam,Dada pale moshi anashukiwa kuhusika na mauaji ya mama yake, pia arusha mama mfanya biashara wa madini aliuawa na anayesemekana kuwa mtoto wake!

iv) Pia mauaji mengi yanahusishwa na wivu na mapenzi ikiwa ni pamoja na kugombania mali! n.k!

Wito!
Naomba sana jeshi la polisi na raia wa kawaida tushilikiane Katika kuwafichuaua waharifu manali walipo!

Pia natoa wito kwa viongozi wa Dini hapa Tanzania kujitahidi sana kukemea na kuwafundisha watu juu ya kuwa na utu! badala ya kugeuza miskiti na makanisa kuwa majukwaa ya kisiasa ua kutafuta fedha!

Kingine ni serikali ione umuhimu wa kuajiri wana saikolojia Katika maeneo ya hispitali au vituo vya afya ili wananchi walio na changamoto ya kisaikolojiawaweze kusaidiwa kwa ushauri nasaha!

Serikali itoe mwelekeo na itende haki hususani Katika mifumo ya utoaji haki! Ili kuepusha wanachi kujichukua hatua mikononi kwa kuhisi kuwa akienda kwenye vyombo vya utoaji haki hatatendewa ipasavyo!

Tunaomba sana kila mtanzania huru kwenye uzalendo na nchi yetu awe msitari wa mbele kutetea maisha na uhai wa watanzania popote pale alipo!

Mwisho! Napenda kulipongeza jeshi la polisi kwa jinsi ambavyo limeendelea kushirikiana na wananchi Katika kusimamia usalama na mali za raia kwa uaminifu mkubwa! Asanteh!
Kwahali ilivyo nchini wewe unadhani ni mwananchi gani atashirikiana na jeshi la Polisi.Polisi wamepoteza trust ya wananchi siku nyingi sana.Polisi ni ya watawala mkuu.kila mtu na ale kwa urefu wa kamba yake.wanaofanya mauaji nao wanakula kwa urefu wa kamba yao.
 
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia!
Mfano wa matukio kwa uchache!

I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa!

ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa wamechinjwa!

iii)Mauaji ya wanafamilia waka karibu kama dada mfanya kazi wa TRA Dar es salam,Dada pale moshi anashukiwa kuhusika na mauaji ya mama yake, pia arusha mama mfanya biashara wa madini aliuawa na anayesemekana kuwa mtoto wake!

iv) Pia mauaji mengi yanahusishwa na wivu na mapenzi ikiwa ni pamoja na kugombania mali! n.k!

Wito!
Naomba sana jeshi la polisi na raia wa kawaida tushilikiane Katika kuwafichuaua waharifu manali walipo!

Pia natoa wito kwa viongozi wa Dini hapa Tanzania kujitahidi sana kukemea na kuwafundisha watu juu ya kuwa na utu! badala ya kugeuza miskiti na makanisa kuwa majukwaa ya kisiasa ua kutafuta fedha!

Kingine ni serikali ione umuhimu wa kuajiri wana saikolojia Katika maeneo ya hispitali au vituo vya afya ili wananchi walio na changamoto ya kisaikolojiawaweze kusaidiwa kwa ushauri nasaha!

Serikali itoe mwelekeo na itende haki hususani Katika mifumo ya utoaji haki! Ili kuepusha wanachi kujichukua hatua mikononi kwa kuhisi kuwa akienda kwenye vyombo vya utoaji haki hatatendewa ipasavyo!

Tunaomba sana kila mtanzania huru kwenye uzalendo na nchi yetu awe msitari wa mbele kutetea maisha na uhai wa watanzania popote pale alipo!

Mwisho! Napenda kulipongeza jeshi la polisi kwa jinsi ambavyo limeendelea kushirikiana na wananchi Katika kusimamia usalama na mali za raia kwa uaminifu mkubwa! Asanteh!
Samahani sana, miminadhani wa kulaumiwa hapa ni Askofu Shao na Sheikh Issa Ponda kwa kuweka pembeni majukumu yao ya msingi na kuanza siasa. Matatizotlio nayosasa ni shetani yuko kazini, anataka kuvuna kilicho chake katika hali hii ya mkanganiko na ubinafsi katika jamii. Wanasiasa anatumia ukabila wetu kutugawa badala ya kutuunganisha, Viongozi wa Dini kwa kukengeuka kwao wanaanza kudai tumehuru badala ya kutafuta Suluhu katika jamii.
 
Kweli mkuu!

Back
Top Bottom