Nilichoona leo kwa machinga Mwanza kinanisikitisha sana. Kuwapiga raia bila sababu kwani hawakuonesha vurugu yoyote ile ni kosa na ukiukwaji wa haki za binadam.
Hivi hao raia wakiwageuzia kipande mtawalalmikia nani? CHungeni hayo marungu yenu..
mmmmh. kupiga watu kama wanyama kweli hii imepitiliza. mbona rahisi tu watz wanaelewa mkiwaelimisha. tatizo mkulu anasema lake na wengine wanasema lao lipi lifuatwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.