Jeshi la Polisi liwaburuze Mahakamani Wainjilisti Wakristo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la Polisi liwaburuze Mahakamani Wainjilisti Wakristo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sideeq, Jun 20, 2012.

 1. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Katika tamko lao kuhusu vurugu zilizo tokea ZNZ iliyopewa jina la "Jihad ya kuuangamiza Ukristo sasa imepamba moto" na kutolewa tarehe 14/06/2012 (linapatikana katika jukwaa la dini JF) Wakristo Wainjilisti wamepitisha azimio kuwa wanaamini kabisa Jeshi la Polisi linatumika katika kuungamiza Ukristo nchini!
  Hizi ni tuhuma nzito ambazo kama hazitashughulikiwa ipsavyo zitalifanya jeshi la Polisi likose credibility yake, na likikosa Credibility nini kinachofuatia? ni watu kujichukulia "sheria" mikononi mwao, hivyo kuiweka nchi katika vurugu na uvunjifu wa Amani.
  Polisi tafadhalini chukueni hatua haraka sana kabla tamko hili halijaleta athari zake mbaya!
   
 2. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wainjilist wakristo ni watu gani? cheo, jina au kundi?
   
 3. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa kunitanabahisha! ninamaanisha Mwenyekiti wa UWAKITA Samson Bullegi na Katibu Mkuu wake Cecil Simbaulanga waliosaini tamko.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  :A S 112::A S 112: :A S 112: :A S 112: :A S 112:

  :nono: :nono: :nono: :nono:

  :bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:

  :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
   
 5. B

  Babyemma Senior Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we ****** nini..kwanini wasishitakiwe hao waislam walochoma makanisa?.nendeni zenu na laana zenu za shetani anayewatuma kujitoa mhanga..
   
 6. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  unabwabwaja tu, k.ndu lako.
   
 7. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Babu hii sio Zanzibar,...hii Bara Kila mtu na time zake utakufa masikini. Hakunaga mtu wa kukimbizana Mahakamani hicho unachotaka kukipanda..

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
Loading...