Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,986
Wadau nawasalimu,
Nimefuatilia kwa makini sana na kurudia zaidi ya mara 20 kuangalia video clip za mnada wa nyumba za Lugumi kuna findings nimezigunduwa ambazo hakuna mtu anayezihoji hata mmoja.
Hii ni sinema, achana na statement ya Polisi ati kwamba Dr yule katumwa na Lugumi mimi nalituhumu jeshi la Polisi pia.
Kwa wale ambao hamko makini usicomment thread hii hakikisha kwanza umeiangalia video clip ya mnada kwa makini utagunduwa kitu kimoja chenye kutia shaka ambacho wala huitaji kuwa kachero kugunduwa Yono wanahusika kwa 100% kwenye usanii huu.
Nataka shuhuda hapa anioneshe sura ya mtu wa pili aliyekuwa anapandiana dau na Dr magumashi then mimi nitafuta kauli yangu na nitaliomba radhi jeshi la Polisi na kampuni ya Yono.
Watanzania tujifunze udadisi na kuangalia vitu kwa jicho la tatu.
Nauliza ni kwa nini mnada wote kamera zimeelekezwa kwa mtu mmoja? Tunataka kuwajuwa kwa sura hawa bidders wengine walikuwa kina nani? Ok 900 itapendeza zaidi je ni nani alikuwa anapandiana dau na mtu huyu? Ni kwa nini afichwe?