Jeshi la Polisi lisishiriki kwenye mchezo mchafu wa kuwahadaa Watanzania, Mkurugenzi wa Yono akamatwe

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,326
92,506
Wadau nawasalimu,

Nimefuatilia kwa makini sana na kurudia zaidi ya mara 20 kuangalia video clip za mnada wa nyumba za Lugumi kuna findings nimezigunduwa ambazo hakuna mtu anayezihoji hata mmoja.

Hii ni sinema, achana na statement ya Polisi ati kwamba Dr yule katumwa na Lugumi mimi nalituhumu jeshi la Polisi pia.

Kwa wale ambao hamko makini usicomment thread hii hakikisha kwanza umeiangalia video clip ya mnada kwa makini utagunduwa kitu kimoja chenye kutia shaka ambacho wala huitaji kuwa kachero kugunduwa Yono wanahusika kwa 100% kwenye usanii huu.

Nataka shuhuda hapa anioneshe sura ya mtu wa pili aliyekuwa anapandiana dau na Dr magumashi then mimi nitafuta kauli yangu na nitaliomba radhi jeshi la Polisi na kampuni ya Yono.

Watanzania tujifunze udadisi na kuangalia vitu kwa jicho la tatu.

Nauliza ni kwa nini mnada wote kamera zimeelekezwa kwa mtu mmoja? Tunataka kuwajuwa kwa sura hawa bidders wengine walikuwa kina nani? Ok 900 itapendeza zaidi je ni nani alikuwa anapandiana dau na mtu huyu? Ni kwa nini afichwe?

Kwanza mkuu nikupongeze kwa kugundua uhuni huu wa aina yake unaofanyika..

Swali dogo tu la kujiuliza, iliwezekanaje mtu mmoja kununua nyumba,halafu anunue ya pili bila kusainishwa na kulipia kiasi cha pesa katika ile ya kwanza aliyonunua?

Inamaana kulikuwa kuna mpango wa kuziuza zote kwa mtu mmoja?

Huwezi kuwafanya watu wote wapumbavu kwa wakati mmoja.
 
Wadau nawasalimu,

Nimefuatilia kwa makini sana na kurudia zaidi ya mara 20 kuangalia video clip za mnada wa nyumba za Lugumi kuna findings nimezigunduwa ambazo hakuna mtu anayezihoji hata mmoja.

Hii ni sinema, achana na statement ya Polisi ati kwamba Dr yule katumwa na Lugumi mimi nalituhumu jeshi la Polisi pia.

Kwa wale ambao hamko makini usicomment thread hii hakikisha kwanza umeiangalia video clip ya mnada kwa makini utagunduwa kitu kimoja chenye kutia shaka ambacho wala huitaji kuwa kachero kugunduwa Yono wanahusika kwa 100% kwenye usanii huu.

Nataka shuhuda hapa anioneshe sura ya mtu wa pili aliyekuwa anapandiana dau na Dr magumashi then mimi nitafuta kauli yangu na nitaliomba radhi jeshi la Polisi na kampuni ya Yono.

Watanzania tujifunze udadisi na kuangalia vitu kwa jicho la tatu.

Nauliza ni kwa nini mnada wote kameta zimeelekezwa kwa mtu mmoja? Tunataka kuwajuwa kwa sura hawa bidders wengine walikuwa kina nani? Ok 900 itapendeza zaidi je ni nani alikuwa anapandiana dau na mtu huyu? Ni kwa nini afichwe?
Mbona yule muhindi ambaye mswahili alibid kwa niaba yake alikuwa anaonekana?
Jamaa alichukua attention ya kamera baada ya kuwa wakwanza kuonyesha interest tangu mnada wa kwanza.
Angalia tena utaviona
 
Kwanza mkuu nikupongeze kwa kugundua uhuni huu wa aina yake unaofanyika..

Swali dogo tu la kujiuliza, iliwezekanaje mtu mmoja kununua nyumba,halafu anunue ya pili bila kusainishwa na kulipia kiasi cha pesa katika ile ya kwanza aliyonunua?

Inamaana kulikuwa kuna mpango wa kuziuza zote kwa mtu mmoja?

Huwezi kuwafanya watu wote wapumbavu kwa wakati mmoja.
Nyumba zote ziliuzwa siku moja.. Na shart ilikuwa alipe siku hiyo hiyo pindi atapo shinda(ingekuwa kiasi kidogo ingembidi alipe papo hapo)
 
Back
Top Bottom