Jeshi la polisi linashughulikia wahalifu kutokana na itikadi zao za kisiasa?

Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
11,076
Likes
15,143
Points
280
Mystery

Mystery

JF Gold Member
Joined Mar 8, 2012
11,076 15,143 280
Ibara ya 13 ya Katiba yetu ya Jamhuri ya Tanzania inatamka hivi "Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki bila ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria" mwisho wa kunukuu.

Nimetanguliza kunukuu ibara hiyo ya Katiba yetu, ili tutafakari kwa pamoja ili tuweze kujiridhisha kama kweli Jeshi letu la polisi linatekeleza kikamilifu ibara hiyo kwa vitendo.

Tujaribu kuangalia matukio kadhaa ya uhalifu, na jinsi yalivyoshughulikiwa na jeshi letu la polisi.

Alimwagiwa tindikali msaidizi wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Soraga, hadi hivi sasa hakujawahi kukamatwa watuhumiwa wowote wa tukio hilo.

Ameuawa kwa kupigwa risasi huko Zanzibar, Padri Mushi, wa kanisa katoliki. Hadi hivi leo, hakuna dalili yoyote, kama kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusiana na tukio hilo.

Aliuawa mwandishi Mwangosi, huko MUfindi Iringa, na ushahidi wa picha ulimwonyesha wazi, askari aliyemfyatulia risasi, mwandishi Mwangosi, lakini pamoja na jeshi kufanya "maigizo" ya kumfikisha yule askari "masked" mahakamani, lakini hivi sasa, serikali yetu, imeifuta kimya kimya kesi hiyo!!

Ameteswa mwandishi nguli, Absolom Kibanda, hadi kunyofolewa jicho, na pamoja na afande Kova kutuhakikishia waTZ, wakati tukio hilo linatokea kuwa wote waliohusika na unyama huo, watatiwa mkononi mwa polisi, hivi sasa ni zaidi ya miezi 6, hakuna hata mtuhumiwa mmoja aliyetiwa mbaroni!!

Yalitokea mauaji kule Arusha kanisani, kutokana na bomu la kurushwa, pamoja na dereva wa bodaboda kutoa ushirikiano kwa polisi, kuhusiana na abiria aliyempakia, ambaye alimuona akirusha bomu hilo, jeshi la polisi hadi leo halijafanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo!

Kwenye mkutano wa Chadema, uliofanyika kwenye viwanja vya Soweto pale Arusha, palirushwa bomu lililosababisha mauaji ya raia kadhaa wasio na hatia, pamoja na kuwa mkutano huo ulikuwa na ulinzi wa jeshi la polisi, lakini mrushaji huo alifanikiwa "kuescape" toka eneo la tukio, na hadi leo hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo!!

Lakini alipouawa RPC wa Mwanza. kamanda Barlow. iliwachukua polisi chini ya wiki wa 2, kuwakamata watuhumiwa wote, na kuwafikisha mahakamani!!

Kulipotumbukizwa clip kwenye mtandao, inayohusisha mazungumzo kati ya Kiongozi wa CDM, Wilfred Lwakatare na "Bukoba boy" iliwachukua masaa machache sana, jeshi la polisi, kukamilisha uchunguzi wao, na kuweza kumpandisha kizimbani Lwakatare na mwenzake, wakituhumiwa kwa kosa la jinai, la kutekeleza vitendo vya ugaidi!!

Hivi karibuni kumetolewa tuhuma nzito sana, zinazomhusisha, mbunge wa CCM, Juma Kapuya, akituhumiwa kwa kukabaka kabinti ka miaka 16, ambaye anasoma shule, na vile vile binti huyo huyo,anamtuhumu pia mbunge huyo, kwa kumtishia maisha, kwa kutuma sms kwa kutumia simu namba, ambayo imekuwa registered TCRA, kwa jina la Juma Kapuya, na pamoja na binti huyo kufungua jalada la mashtaka, kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay, lakini hadi hivi leo, jeshi la polisi, linaendelea kushikwa na "kigugumizi" kwa kushindwa kumkamata, mbunge Kapuya na kumfungulia mashitaka!!

Lakini siku chache zilizopita, wakati Zitto Kabwe, alipoenda Central Police, na kufungua jalada la malalamiko kuwa Henry Kilewo, Katibu wa Chadema, mkoa wa Dar-es-salaam, anamtishia kumwuua, fasta sana polisi hao hao, wakamwita Henry Kileo kituoni na kumuhoji kwa masaa kadhaa!!

Miezi michache iliyopita, wakati mbunge Sugu, alipopost kwenye page yake ya facebook, kuwa Pinda ni m.p.u.m.b.a.v.u, haraka sana jeshi la polisi, lilimwita kituoni mbunge Sugu, kwa mahojiano ya masaa kadhaa!!

Hivi karibuni tumesikia kukamatwa kwa shehena kubwa ya pembe za ndovu huko Zanzibar na zile zilizokamatwa Mikocheni, Dar-es-salaam,lakini hadi hivi sasa, hakuna kesi yoyote, tunayosikia inaendelea kuhusiana na matukio hayo!

Kutokana na mlolongo wa matukio hayo niliyoyataja, zipo dalili za wazi na ushahidi usio na shaka yoyote kuwa, jeshi la polisi,inaelekea, linaelekezwa na watawala wetu, kuhusu wahalifu gani wa kuwakamata na nani wa kuwaacha, na hivyo kuifanya ibara ya 13 ya kwenye Katiba yetu, ambayo inataka usawa, kwa watu wote mbele ya sheria, kuonekana kama aina fulani ya "PAMBO" lililochomekwa tu, ndani ya Katiba yetu ya Jamhuri ya Tanzania!!!
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,012
Likes
11,043
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,012 11,043 280
Duh..ngumu kusoma!!!:A S 39:

Itengeneze vizuri habari yako basi mkuu!!!
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
chadema ni misukule, mnahangaika kupotosha mambo lakini watz wameshawapuuza
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
marehemu chadema (rest in peace)
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,784
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,784 280
MSIMAMO WA CHADEMA MKOA WA SINGIDA

(i)
Tunalaani, kuipinga na kuikemea kamati kuu ya chama dhidi ya maamuzi yao haya ya kipuuzi yaliyojaa chuki, hofu na wasiwasi mwingi kuelekea uchaguzi mkuu wa ndani ya chama
(ii)Tunamtaka mwenyekiti na katibu mkuu waitishe mara moja mkutano wa baraza kuu la chama kutolea maamuzi suala hilo.

(iii)
Tunamtaka katibu mkuu awazuie wakurugenzi na maafisa wake aliowatuma kusambaa mikoani kusambaza waraka wa siri unaowachafua zitto na kitila na kwamba kufanya hivyo ni kujidharirisha wao wenyewe.

(iv)
Tunampa onyo kali katibu mkuu Dkt. Slaa kuwa asithubutu kukanyaga SINGIDA
ikiwa bado hajayafanyia kazi maelekezo yetiu hapo juu, kuzunguka kwake mikoani baada ya kumvua vyeo zitto ni kwenda kuthibitisha kuwa amefanya makusudi mpango wake huo.

(v)Tunapenda wanachadema na watanzania watambue kuwa
Hatuna Imani na Mwenyekiti wa Taifa wa chama, Katibu Mkuu wa Chama, Kamati kuu kwa ujumla na tunamuagiza mbowe aivunje mara moja kisha nay eye ajiudhuru
.

MWISHO, Kutokutii maamizio yetu haya ni kusababisha mgogoro usiokuwa na kikomo ndani ya chama hiki,Singida tunasema kuwa ''
kamati kuu inaweza kumvua zitto kabwe uongozi, inaweza kumuondolea heshima yake ndani ya jamii, inaweza pia kumsingizia kila aina ya uwongo itakavyo, lakini kamwe kamati kuu haiwezi KUZUIA MPASUKO NDANI YA CHADEMA.''
 
kambitza

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Messages
1,926
Likes
635
Points
280
kambitza

kambitza

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2013
1,926 635 280
Ibara ya 13 ya Katiba yetu ya Jamhuri ya Tanzania inatamka hivi "Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki bila ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria" mwisho wa kunukuu.

Nimetanguliza kunukuu ibara hiyo ya Katiba yetu, ili tutafakari kwa pamoja ili tuweze kujiridhisha kama kweli Jeshi letu la polisi linatekeleza kikamilifu ibara hiyo kwa vitendo.

Tujaribu kuangalia matukio kadhaa ya uhalifu, na jinsi yalivyoshughulikiwa na jeshi letu la polisi.

Alimwagiwa tindikali msaidizi wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Soraga, hadi hivi sasa hakujawahi kukamatwa watuhumiwa wowote wa tukio hilo.

Ameuawa kwa kupigwa risasi huko Zanzibar, Padri Mushi, wa kanisa katoliki. Hadi hivi leo, hakuna dalili yoyote, kama kuna kesi yoyote inayoendelea kuhusiana na tukio hilo.

Aliuawa mwandishi Mwangosi, huko MUfindi Iringa, na ushahidi wa picha ulimwonyesha wazi, askari aliyemfyatulia risasi, mwandishi Mwangosi, lakini pamoja na jeshi kufanya "maigizo" ya kumfikisha yule askari "masked" mahakamani, lakini hivi sasa, serikali yetu, imeifuta kimya kimya kesi hiyo!!

Ameteswa mwandishi nguli, Absolom Kibanda, hadi kunyofolewa jicho, na pamoja na afande Kova kutuhakikishia waTZ, wakati tukio hilo linatokea kuwa wote waliohusika na unyama huo, watatiwa mkononi mwa polisi, hivi sasa ni zaidi ya miezi 6, hakuna hata mtuhumiwa mmoja aliyetiwa mbaroni!!

Yalitokea mauaji kule Arusha kanisani, kutokana na bomu la kurushwa, pamoja na dereva wa bodaboda kutoa ushirikiano kwa polisi, kuhusiana na abiria aliyempakia, ambaye alimuona akirusha bomu hilo, jeshi la polisi hadi leo halijafanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo!

Kwenye mkutano wa Chadema, uliofanyika kwenye viwanja vya Soweto pale Arusha, palirushwa bomu lililosababisha mauaji ya raia kadhaa wasio na hatia, pamoja na kuwa mkutano huo ulikuwa na ulinzi wa jeshi la polisi, lakini mrushaji huo alifanikiwa "kuescape" toka eneo la tukio, na hadi leo hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo!!

Lakini alipouawa RPC wa Mwanza. kamanda Barlow. iliwachukua polisi chini ya wiki wa 2, kuwakamata watuhumiwa wote, na kuwafikisha mahakamani!!

Kulipotumbukizwa clip kwenye mtandao, inayohusisha mazungumzo kati ya Kiongozi wa CDM, Wilfred Lwakatare na "Bukoba boy" iliwachukua masaa machache sana, jeshi la polisi, kukamilisha uchunguzi wao, na kuweza kumpandisha kizimbani Lwakatare na mwenzake, wakituhumiwa kwa kosa la jinai, la kutekeleza vitendo vya ugaidi!!

Hivi karibuni kumetolewa tuhuma nzito sana, zinazomhusisha, mbunge wa CCM, Juma Kapuya, akituhumiwa kwa kukabaka kabinti ka miaka 16, ambaye anasoma shule, na vile vile binti huyo huyo,anamtuhumu pia mbunge huyo, kwa kumtishia maisha, kwa kutuma sms kwa kutumia simu namba, ambayo imekuwa registered TCRA, kwa jina la Juma Kapuya, na pamoja na binti huyo kufungua jalada la mashtaka, kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay, lakini hadi hivi leo, jeshi la polisi, linaendelea kushikwa na "kigugumizi" kwa kushindwa kumkamata, mbunge Kapuya na kumfungulia mashitaka!!

Lakini siku chache zilizopita, wakati Zitto Kabwe, alipoenda Central Police, na kufungua jalada la malalamiko kuwa Henry Kilewo, Katibu wa Chadema, mkoa wa Dar-es-salaam, anamtishia kumwuua, fasta sana polisi hao hao, wakamwita Henry Kileo kituoni na kumuhoji kwa masaa kadhaa!!

Miezi michache iliyopita, wakati mbunge Sugu, alipopost kwenye page yake ya facebook, kuwa Pinda ni m.p.u.m.b.a.v.u, haraka sana jeshi la polisi, lilimwita kituoni mbunge Sugu, kwa mahojiano ya masaa kadhaa!!

Hivi karibuni tumesikia kukamatwa kwa shehena kubwa ya pembe za ndovu huko Zanzibar na zile zilizokamatwa Mikocheni, Dar-es-salaam,lakini hadi hivi sasa, hakuna kesi yoyote, tunayosikia inaendelea kuhusiana na matukio hayo!

Kutokana na mlolongo wa matukio hayo niliyoyataja, zipo dalili za wazi na ushahidi usio na shaka yoyote kuwa, jeshi la polisi,inaelekea, linaelekezwa na watawala wetu, kuhusu wahalifu gani wa kuwakamata na nani wa kuwaacha, na hivyo kuifanya ibara ya 13 ya kwenye Katiba yetu, ambayo inataka usawa, kwa watu wote mbele ya sheria, kuonekana kama aina fulani ya "PAMBO" lililochomekwa tu, ndani ya Katiba yetu ya Jamhuri ya Tanzania!!!
Kakaeni vikao tena... mje mkiwa mmejipanga.
 
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,174
Likes
2,224
Points
280
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,174 2,224 280
marehemu chadema (rest in peace)
chadema ni misukule, mnahangaika kupotosha mambo lakini watz wameshawapuuza
Hivi kwanini hutaki ukatulia then unatoa Comment moja ya maana, hivi unajisikia raha unapokuwa na vicoment kibao vya kipumbavu ------- kiasi hiki? Kwa taarifa yako usije ukadhani niwewe tu unanufaika/umenufaika na mfumo mbovu wa kuongoza nchi hata mimi wazazi wangu wameipiga sana hii bongo lakini nakereka sana na uongozi wa nchi hii!!!
 
Forum statistics

Threads 1,263,604
Members 485,990
Posts 30,157,778