Jeshi la Polisi linambeba DED wa Itigi kwa maagizo na manufaa ya nani?

Hayo ni maelezo ya Mzazi wewe kama muandishi tuletee maelezo ya Mkurugenzi sasa ili ubalance story.
Uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Hivi unataka kusema huyu baba anasema uongo? Kwamba hakumuona huyo muuaji akimpiga risasi mwanaye? Kwamba ushahidi wa baba na waumini waliokuwepo kwenye tukio hauna maana bali ushahidi wa muuaji ndio tuuamini? jingalao, najua upo humu kwa kazi maalumu na ndio maana umejenga kabisa kibanda humu lakini naomba nikupe ushauri kidogo, haya mauaji unayoyachangamkia na kuyatetea kuna siku yatakukuta na hutakuwa na wa kukutetea kwani ambao wangekutetea kama mimi tutakuwa tumeisha...tumeuawa.
 
Ulikuwepo eneo la tukio na ukamuona DED akishika Bastola? Ado Shaibu ni mkazi wa itigi?Basi itabidi jeshi la polisi likuchukue na kukuhoji juu ya tukio hilo.
Mnakuwa na maneno na jeuri kama hii kwa kuwa tu, tukio hukufanyiwa wewe ama mtu wako wa karibu (i.e lineage) lakini fikiria kama ungekuwa umefanyiwa wewe (mtoto, kaka, baba yako n.k) sidhani kama maneno haya yangekutoka kwenye ubongo wako (i.e your faculty of reasoning).

Hata kama uko upande fulani wa kazi/matazamo wa kiitikadi huwa sio lazma kuunga mkono hata "UJINGA" tunatofautiana kwa kurekebishana sio kwa kufarakana.

Its so painful to end the life of a person whose God has endured his labour and talent just b'se of manmade levy, accrues from tax laws.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani anayesingiziwa hana damu au familia?Hivi mahakama kazi yake ni nini?
 
Ulikuwepo eneo la tukio na ukamuona DED akishika Bastola? Ado Shaibu ni mkazi wa itigi?Basi itabidi jeshi la polisi likuchukue na kukuhoji juu ya tukio hilo.
Na wewe vitu vingine usiwe unabishabisha kishamba,ACT wananukuu maneno ya ndugu hawatungi yao mdomoni..

Jitafakari mara mbili mbili wewe ni binadamu au vip?

Kuwa na huruma waumini wote sio vichaa.

Umenikera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani anayesingiziwa hana damu au familia?Hivi mahakama kazi yake ni nini?
Kumbuka waliosema hiyo ni POLISI sio MAHAKAMA. Polisi hao hao huwa na tabia ya kukamata mtu yyeto ambaye watamkuta karibu na eneo la tukio. Mkoani Njombe imefikia hatua wanawakamata hata wazazi wa watoto waliopoteza maisha kwa kufanyiwa unyama huku wakiwa bado na majonzi ya kupoteza watoto wao (SIPINGI HILO)

Hoja yangu hapa hata kama huyo Luhende alikuwa nje ya kanisa ni muhimu wasianze kutoa kauli kama hizo jaman na kuzitetea sisi wananchi. Sheria za upelelezi na za jinai zichukue mkondo wake bila kujali cheo cha mtu.

Kwenye sheria za ushahidi kuna kitu kinaitwa CIRCUMSTANTIAL EVIDENCE Mahakama ndo ilitakiwa kusema jambao ambalo polisi wamelisema SIO JUKUMU LAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa nafsi ya binadamu mwenzio ni mbaya sana
Lakini lakini wakati mwingine huwa watu yanawakuta hapahapa duniani na kuja kupata matatizo makubwa
Kwa aliyemuuwa huyo maskini naye mwanae atajiua akichezea bastola hiyo hiyo semeni Amiin

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hata.mauaji ya Akwilini ilikuwa hivi hivi. Polisi wameua halafu wanasema hawajui ni polisi yupi alifyatua risasi iliyomgusa Akwilina. Baadaye wakawafungulia mashtaka viongozi wa CDM kwa kuandamana ndiyo maana mpaka sasa Mbowe yupo ndani kutokana na kesi hiyo. Hiyo ni movie mpya!

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Ulikuwepo eneo la tukio na ukamuona DED akishika Bastola? Ado Shaibu ni mkazi wa itigi?Basi itabidi jeshi la polisi likuchukue na kukuhoji juu ya tukio hilo.
Nakuwa sielewi kwa nini DED atumie bastola yake wakati kiuna askari wana silaha.
 
Jina lako limetoa jibu tayari
Mwandishi kasema kauli zinakinzana
Waliokuwepo kwenye tukio wanasema aliefyatua risasi ni huyo DED lakini polisi ambao hawakuwepo wanasema DED alikuwa nje so hahusiki na ufyatuaji wa risasi.
Hizi ni kauli mbili kinzani kati ya watu waliokuwepo wakati wa tukio.na ambao hawakuwepo sasa hapa sijui nani anasema ukweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokuwepo eneo LA tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom