Jeshi la Polisi limemkamata Katibu wa Itikadi, uenezi na mawasiliano ACT Wazalendo, Ado Shaibu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
1568464896705.png
 
Akamatwe tu kama ni mharifu kwanini asikatwe alidhani yupo juu ya sheria akae miezi mitatu hivi kama lema au sugu atakuja na akili
 
View attachment 1207320

Yeye na viongozi wengine walikuwa katika shughuli halali za chama chao jimbo la Temeke , lakini kwa vile polisi wameamua kuitumikia ccm wamewakamata .
Kama Mh. Rais anataka kuwe na Tanzania yenye mtangamano basi Siro anatakiwa awe mtu wa pili kumfuata yule wa TISS. Polisi wanaonyesha mapenzi ya wazi kwa Ccm kama tiss ilivyo kuwa kwa wapinzani
 
Huku bashiri na huku heri james wao wanaendelea na kuweka ukijani tu nchi nzima. Ila ni marufuku kwa wapinzani eidha kufungua tawi au kufanya kikao cha ndani.
 
Back
Top Bottom