Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

Ataenda "KUFUNGWA LOCK UP MOJA" na "WAGONJWA WA COVID-19". Hii serikali ya jiwe ni ya kinyama sana.

Ni haki kabisa alijiona yeye ni malaika, akawaambia watu fulani "WATAISHI KAMA MASHETANI", sasa damu zilizomwagika kwa mikono yake mungu kamgeuza yeye ndio "ANAISHI KAMA SHETANI" (Anaishi kwa kujificha, hana rafiki, muongo kupindukia, kila miradi anayofanya inakwama, kila anachokigusa kwa mikono yake kinaharibika na kinalaanika, dunia inamchukia kama shetani, taifa linamchukia, nchi za SADC na EAC wanamuona kama shetani/adui mkubwa kuliko umasikini).

Mungu endelea kumnyoosha mpaka mke na watoto wake wamchukie, apate na maambukizi ya Covid-19 ili ajue watu wanavyoteseka.
 
Nilichogundua hakuna kitu kinauma kama kama maneno mpaka polisi wanazuia kusema na kuna watu wanashangilia haya aisee haya Wazalendo ni wakati wenu wa kusema huu semeni ......
 
Huyu nae kwa nini hasifanye live streaming kwenye internet applications?
Nashangaa ila mkutano wa kuwavua uanachama hakina Silinde walifanya video conference.

Nahisi alijua akifanya mubashara kwenye mitandao ya kijamii kesho hatokuwepo front PAGE ya magazeti,si unajua siasa MAJITAKA zilivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom