Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

Kongamano lipo palepale ama mmekubaliana na katazo la polisi?
Hao wako tayari kuua raia sababu ya ego tu.

Wanadhani wana nguvu sana sababu ya silaha wanazobeba, kama wao wanaume kweli wawagawie raia silaha na wao wawe na silaha kisha waone kama kuna mtu atawaogopa

Au waweke silaha chini zipigwe kavukavu, man to man na raia waone kama hawajakimbia!
 
Vile CCM wanajifanya kuupiga mwingi kupitia mgongo wa Polisi wakati wameshapitwa na wakati!😁😁😁
View attachment 1912082
AA3bhl.jpg
 
Hao wako tayari kuua raia sababu ya ego tu.

Wanadhani wana nguvu sana sababu ya silaha wanazobeba, kama wao wanaume kweli wawagawie raia silaha na wao wawe na silaha kisha waone kama kuna mtu atawaogopa

Au waweke silaha chini zipigwe kavukavu, man to man na raia waone kama hawajakimbia!
Kongamano lipo ama halipo? jibu ili watu wasichome nauli
 
Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi.

View attachment 1911792

USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
Ndio maana tunapigania katiba mpya, tusifikiri ni suala la CHADEMA peke yao.
 
Correction.
Kile kikundi kidogo cha wanasiasa waliokosa nafasi za madaraka ndio kitashughulikiwa bila huruma. Kile kilichopata ushindi wa Tsunami ruksa kufanya siasa.

Amandla...

..Zanzibar wapinzani wanafanya siasa sijaona wakibugudhiwa.

..Huku Tanganyika kuna watu waliwekeza kwenye kuvibinya vyama vya upinzani wakati wa Magufuli wanalazimisha hali hiyo iendelee wakati wa Rais SSH.
 
Back
Top Bottom