Jeshi la Polisi lawakamata wahamiaji haramu 81 Bagamoyo Mkoani Pwani

Hili ni Dili la sk nyingi sn ,, mtandao wa kusafirisha hao Wasomali na Waethiopia ni mkubwa sn hapa nchini,,

Hawo jamaa ni Risk taker hawana hofu juu ya maisha yao,, wao mradi wafike tu walikodhamiria kufika,, na kila kichwa eti ni dola 5,000 kukivusha mipaka yote ya Tanzani.

Hawa jamaa wanakutwa Sana kwenye misitu ya kuelekeza boder za Tunduma na Kasumulu .

Na hawa wengine ndo wanajiunga na vikundi vya Ugaidi na Ujambazi kwa kupora Polisi bunduki nk.
Serikali ilisha toa Agizo kwamba gari litakalo kutwa limebeba hawa watu litataifishwa jumla lakini hatuoni utekelezaji wake.
Usikute hata zile maiti za watu waliokutwa wanaelea kwenye mto Ruvu ni Kati ya yao hao yao jamaa.

Waziri wa mambo ya ndani alivalie njuga hili suala hawa jamaa ni hatari Sana.

Wabanwe hawa waliokatwa wawataje wanaowasafirisha na kuwaterekekeza kwenye mapori yetu.
 
wewe bwana mbona unawapa kesi nzito hiyo una uhakika ni hao
Ni hao yao 100% uhakika,,
Watanzania hatuna unyama wa kutupa maiti mtoni tunazikana kwa ustaarabu,,

Hao jamaa Roho zao mbaya sn kuua kwao siyo issue.
Waziri mambo ya ndani akae sawa tu. Watamtubulisha jipu akicheza nao hawa jamaa na mtandao wao.
 
Back
Top Bottom